Series (Special thread)

Screensht-utorrent.png
Kuna raves ya series mpya Salvation.
Ila nikiwa na download badala nipate video inakuja kama ki Text Memo,Sijaelewa tatizo ni nn.
 
Salvation inahusu nn?!
Ni komplicated story ..vizuri ucheki munyewe, ila inahusiana na scientist flan iv amegundua kuna asteroid zinaanguka kutoka angan so ana mpango wa kuzuia isitokee. .ila anapata upinzani kutoka serikali ya marekan kupitia kitengo chake cha maswala ya anga.

Series ni kali ina story tamu sana. Utakutana na wakali kama Darius Tanz, Frank lium, Grace na wengine wengii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom