Series (Special thread)

kwn hujaelewa ndgu au unataka kujifny mjuaji tu....apo ni kuchnganya maneno...kikubwa nmeeleweka....series au tv shows
Kwa hiyo ODDYSES ilikuwa mbovu!!!! Jericho ilikuwa mbovu!!! The Event ilikuwa mbovu!!!! Of the Kings and prophets ilikuwa mbovu!!! The LAST RESORT ilikuwa mbovu!!!! Mbona zote zimeishia season 1!!!!

Pili, umekosea umekosea ungesema Ukiona "TV show ama series wewe umesema movies.... Sasa niambie ni movie gani ina season!!!! Ni vyema umefuta kauli.... Sasa umejua kosa lako umesema series au TV show umeelekwa... Sasa niambie hizo series nimetaja hapo juu UMEZIONA!!! KWA NINI ZIMEISHIA SEASON 1!!! NA KWA NINI ZILIINGILIWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA ZINGINE ZILIINGILIWA NA TAASISI ZA DINI!!! sio kila iliyoishia season 1 basic ni mbovu... THE MISSING ilikuwa mbovu!!!
 
nakubal kosaa sio movie japo mm mara nying uwa najisahau nasema muvie nizoee kwa hilo....halafu hujaelewa statement yanguu....unajua kuna series zinakatishwa na kuna series znaishaa...znazokatish
wa zle mara nyingi uwa ni airtime baina yao na channel mfano mzuri game of silence...hii series haijaisha ila kwakua imekosa airtime channel hucka imeshndkana kurudi tena...ss cna maana kua hzo ni mbaya...ila kuna zle km shooter...eyewitness na zngne....izo zmeisha kabsaa...hazna muendeezo..american oddyse ile haijaisha na cjafuatilia sabbu kwnn haijaoneshwa....ukitaka kujua km series imeisha au la uwe uwe unfuatilia final epsod ya season vzr utagundua...cjui km umenielewa
 
Wiki hii jumatano wanatoa episode ya 14 season 3 so ya sita inaendelea mpaka 13 Hiyo ingine mpaka wiki hii
 
Shooter inaendelea acheni maneno
fc98f2300a433d2cf64c598d159198e5.jpg

haikua plan yao...plan yao ilikua ni waimalze season 1 na ndmn mwaka jana mwshn waksema wameirenew
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom