Series (Special thread)

Msaada kwa anayejua website ninayoweza kupakua series nilikuwa natumia freshseries.net ila saiv siipati.Natangulia shukrani.
 
ukitoa money heist, condor, jack ryan, body guard ni series gan mpya ambayo naweza angalia bila kujutia mda na data zangu wakuu
 
Wadau natafuta series ambayo inaweza fanania na iz
Breaking bad
Prison break
Lacasa de papel(money heist)
Kama unajua nambie niipakue chap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom