Series (Special thread)

Kumekucha Scofild look like your brother just be alive Jela za Arabuni si mchezo
 
T-berg namkubali sana yule jamaaa ni fighter kwelikweli
Kuna jamaa alisema tbetg alikuwa genius kuliko Michael as kwakuwa mipango ya Michael aliisoma bila wao kujua ingawa kundini walimtosa lakini jamaa alikuwa anatafuta njia wanakumbana nae tena.....ila ukicheck nikweli ingawa jamaa alikuwa anaudhi ukatili wake
 
Alipotwezwa walipokuwa wanatoroka kwenye gereza la sona
 
But pamoja na yaliyo mkuta .....alitumia kile kitabu kilicho dondoshwa mpaka kujua zile codes zilizo pelekea kuwa mbele yao .....siyo easy kwa mtu wa kawaida ku interpret au ku translate zile code
Hicho chuma hakifai hata kidogo kuna wakati wapo utah akaitafuna ramani ya nyumba yenye mpunga kisha akawaambia kuanzia sasa mimi ndio ramani yenu Michael na Lincoln ikabidi wawe wapole pia alimtia bisibisi sucre akakimbia na mpunga achilia mbali alivyowaachia begi la vitabu akaondoka na mpunga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom