Thanks mkuu pia nilizama google nikapata mwanga kidogo now nipo na shusha season ya tatu.
Kiongozi hapo kuna mawili network yako au hiyo App.Mkuu naomba unisaidie showobx inadowload movie vpande vpande
The 100 season 4 bado?
ha ha ha ha
bado mkuu mpaka mwakani tena inaonesha imekubamba sana kiasi unatamani ije seoson 4
mchezo wa CITY OF LIGHT ushaisha sasa sijui itakuwa vipi hapo ikija s04
Me sijanote kabisa hiko kitu. Am just thrilled in every episode.
Hapa naona jumatatu Kama mwakani vile.Hahahaha Mkuu umeshikwa vibaya!
Hapo umenena . Usisahau Vickings lolGoma ni Game of Thrones...
Daah, umenikumbusha Ragna,halafu Floki kalilia ukamanda akapewa matokeo yake........!,katika series ambazo niko tayari kukosa pesa ili isinipite ni hii.VIKINGS ni bonge moja la series imefika mpaka season 4 now ... hutojutia kabisa muda wako!
Mkuu na hizo zote umeziangalia?Series ambazo ninazo hapa ni hizi
Being mary jane
Banshee
Blacklist
Breaking bad
Atlantis
Dallas
Dexter
Flash forward
Game of thone
Gang related
Graceland
House of card
If loving your is wrong
Kyle xy
Legend of seaker
Mr robot
Narcos
Ncis
Power
Salem
Shuga
Suit
Single ladies
Super girl
The 100
The haves and have nots
The origion
The waking dead
Tyler perry for better or wrost
Under the dome
Viking
Ballers
Angent x
American oydsee
Arrow
Orphan black
Blindspot
Constantine
Continum
Dc
Devious maid
Dominion
Empire
Extant
Gotham
Heroes
Hit and floor
Into the bandland
Izombe
Jane the virgin
Legend
Marvels deredevi
Mistresses us
Prison break
Quantico
Revenge
Revelution
Rush
Scopion
Sense 8
Slepy hallow
Star crossed
Strike back
Teen wolf
The flash
The foster
The last ship
The lottey
The player
The wite queen
The last kingdom
The shanara chronicle
True detective
Twisted
Mkuu na hizo zote umeziangalia?
Mkuu tunasubiri Tyrant 3. Hiyo season 2 mbona IPO?Tunasubiria Tyrants Season 2 Mwezi June.