Series (Special thread)

Wakuu nadhani sasa inabidi twende vizuri na latest series at least kuanzia mwaka 2014 to date, mfano tu mwaka 2015 kuna vitu vya moto hatari sana ambavyo nimeshavicheki,
1. Narcos
2. Blind spot
3. The player ni noma sana hozo, zote ni za 2015
 
Kuna badland ni hatari umo ndan!!!!
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

TEEN WOLF my favourite.

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
Game of throne ipo adi season 5 ni balaaaa

shuveplus
 
Brodie si alinyongwa au amefufuka maana mi baada ya ile episode ya Brodie kufa sikuona umuhim wa kuendelea kufuatilia Homeland
Kweli pale story ya utangulizi wa homeland ilishaisha but ikaendelea na familia ya brody aikuonyeshwa tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom