Sereous relationship

Brian24

Member
Jun 23, 2011
11
0
Mambo vip
najitokeza kwenye page hii kwa mara ya kwanza .Mimi ni mwanaume wa kitanzania nina umri wa miaka 24 natafuta mchumba
Sifa zifuatazo
Umri :miaka 18-23

Mwenye hofu ya mungu
Mzuri :wastan
Urefu :saizi ya kati au full

rangi:maji ya kunde au mweupe
awe na mapenzi ya kwel
elimu kidato cha sita na zaid 4m 4 awe na kaz
hana skendo za ngono au kutoa mimba au kubakwa

abt me nimrefu ,white sio saana, mpole, kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja
 
Mambo vip
najitokeza kwenye page hii kwa mara ya kwanza .Mimi ni mwanaume wa kitanzania nina umri wa miaka 24 natafuta mchumba
Sifa zifuatazo
Umri :miaka 18-23

Mwenye hofu ya mungu
Mzuri :wastan
Urefu :saizi ya kati au full

rangi:maji ya kunde au mweupe
awe na mapenzi ya kwel
elimu kidato cha sita na zaid 4m 4 awe na kaz
hana skendo za ngono au kutoa mimba au kubakwa

abt me nimrefu ,white sio saana, mpole, kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa tz email me at kngdvd23@gmail.com thank you
 
sasa brother unayatafuta mchumba hata picha tu hujaweka unategemea mtu anaweza kukupenda hajakuona mwonekano wako au ulikuwa unatuzuga tuu.
 
Mambo vip
najitokeza kwenye page hii kwa mara ya kwanza .Mimi ni mwanaume wa kitanzania nina umri wa miaka 24 natafuta mchumba
Sifa zifuatazo
Umri :miaka 18-23

Mwenye hofu ya mungu
Mzuri :wastan
Urefu :saizi ya kati au full

rangi:maji ya kunde au mweupe
awe na mapenzi ya kwel
elimu kidato cha sita na zaid 4m 4 awe na kaz
hana skendo za ngono au kutoa mimba au kubakwa

abt me nimrefu ,white sio saana, mpole, kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa tz email me at kngdvd23@gmail.com thank you

Maliza masomo achana na mambo ya mapenzi! No wonder hauko serious.....
Sereous ni kitu gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom