Serengeti tawi la Mwanza wazindua bia mpya ijulikanayo kwa jina la......

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Serengeti kupitia tawi lake la mwanza limezindua bia ijulikanayo kwa jina la SENETOR yenye alcohol 6% ambayo ni mahususi kwa watu wa kipato cha chini. So walevi wenzangu tunafunga na kufungua mwaka kwa cheap bear

source TBC1
 
naona wanataka kutukumbushia mambo ya bingwa sasa.....
 
Nadhani wametaka kuwakonga watu wa mpakani na Uganda maana hata Uganda wanayo hiyo bia. Sikumbuki % alcohol yake.
 
Umaskin utatuua, iyo alcohol tu, halaf kwa kuwapa moyo imepewa jina zuuri "SENETOR" nataman maskin wote wangekua wasabato!
 
Nadhani wametaka kuwakonga watu wa mpakani na Uganda maana hata Uganda wanayo hiyo bia. Sikumbuki % alcohol yake.

inafikia mziki wa Bavaria 8.6 ambayo ni dedicated kwa 'Wanaume wa Shoka'...
 
Back
Top Bottom