Serena Williams - Barbados, November 2009

Huyu naye naona amekuwa mzembe sana kwenye suala la mavazi na kustiri mwili. Juzi juzi alisahau kuvaa nanii hii na wakati anashuka kwenye gari akasahau kuwa amesahau kuvaa nani hii akajichia mapaparazi wakawahi picha za maeneo, alafu wakazitundika kwenye mtandao, hapo hatujasema tangazo lake la SPN, leo tena hii kwani hakujua kuwa hicho kitop kikilowa kitashuka tu.
 
Sasa si yupo ufukweni hapo jamani,ulitaka avae GAUNI ama Sketi na Blauzi..Kwa hayo mavazi hapo ufukweni ni pahala pake hasa
 
Balatanda hata kama ni ufukweni angevaa nguo ambayo imemshika vyema kuna zile swim suit nzuri tu n k nk .sasa hiyo ya kushuka na kuacha manyonyo wazi ndo nini
 
Huyu naye naona amekuwa mzembe sana kwenye suala la mavazi na kustiri mwili. Juzi juzi alisahau kuvaa nanii hii na wakati anashuka kwenye gari akasahau kuwa amesahau kuvaa nani hii akajichia mapaparazi wakawahi picha za maeneo, alafu wakazitundika kwenye mtandao, hapo hatujasema tangazo lake la SPN, leo tena hii kwani hakujua kuwa hicho kitop kikilowa kitashuka tu.

jamani inatakiwa mara moja moja ile kitu ipate upepo..! sio mabint wa bongo.
anaanza na chupi then skin tight..then underskirt ..then skirt ..au suruali...! kaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom