Sept 11 ni tukio la kigaidi la kufikirika, wamarekani wana siri nzito

MTOAHOJA

Member
Nov 28, 2011
37
3
Ndugu wadau, ikiwa leo ni maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama, naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania aliyeelezea jinsi tukio la sept 11 lilivyopangwa!
 
Ndugu wadau, ikiwa leo ni
maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama,
naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania
aliyeelezea jinsi tukio la sept 11 lilivyopangwa!

kwa nini uliite la kufikirika wakati madhara yake yalionekana?
 
kwa nini uliite la kufikirika wakati madhara yake yalionekana?

kidogo nikushukuru nikijua labda jina unalo! labda nikueleweshe! hili tukio ni event ilipangwa kwa maslahi yao binafsi!linafikirika kwani hakuna adui wa marekani anaitwa Osama, ni jinsi wao wenyewe walivyocheza na karata na kuaminisha dunia juu ya osama huku wao wakiwa na siri moyoni mwao!
 
Hakuna adui anaitwa Osama kivipi wakati mwaka jana tumesikia ameuawa huko Pakistani? Halafu hao Al-Qaida aliokuwa akiwaongoza si ndio waliotupiga mwaka 98?
 
wamarekani kazi yao kutengeza tukio, ili wajulikane uwezo wao wakijeshi na kifedha, huu ugaidi wanaodai ni ugaidi wame utengeza wao wenyewe, kwani ukisoma historia ya Bin Laden / Osama na marekani utaamini maneno yangu.....:director:
 
ungekuwa na akili timamu usingeleta hiyo hoja au swali. Sisi watanzania (wa afrika) na mataifa mengi duniani tulikuwa hatumjui OSAMA. Wao WAMAREKANI wakaja wakasema wana adui yao anaitwa OSAMA na amejificha na wanamtafuta. Baadae wakasema wamemkamata PAKISTAN na wamemuua mbele ya mkewe na watoto na wakazika baharini .sasa wewe uko bongo na hayakuhusu bado unalalamika . WANGEJIULIZA SWALI HILO NI SAUD ARABIA AMBAKO NDIO KWAO . NA PAKISTAN ALIKOJICHA.
 
we kumbe kupe! hata mada huijui, siasa hujui, plan za wamarekani hujui basi umeingia kwenye group ya great thinkers unajiona na wewe great thinkers! anyway tupo hapa kuwasaidia, usa ni nchi inayoongoza kuratibu tukio kupitia mgongo wa mtu au nchi ikiwa inataka jambo fulani! uafrika wako sio hoja hata mimi ni mwafrika sema nafatilia haya mambo! usipende vya bure ka wauzaji kaka shughulisha kichwa upate information! KUNA USHAHIDI WA KUTOSHA SEPT 11 ITS CONSIPIRACY THING!
 
we kumbe kupe! hata mada huijui, siasa hujui, plan za wamarekani hujui basi umeingia kwenye group ya great thinkers unajiona na wewe great thinkers! anyway tupo hapa kuwasaidia, usa ni nchi inayoongoza kuratibu tukio kupitia mgongo wa mtu au nchi ikiwa inataka jambo fulani! uafrika wako sio hoja hata mimi ni mwafrika sema nafatilia haya mambo! usipende vya bure ka wauzaji kaka shughulisha kichwa upate information! KUNA USHAHIDI WA KUTOSHA SEPT 11 ITS CONSIPIRACY THING!

Ndugu wadau, ikiwa leo ni maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama, naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania aliyeelezea jinsi tukio la sept 11 lilivyopangwa!

Una ushahidi wa kutosha na umesema upo hapa kuwasaidia watu kama kupe wakati reference humpi ili kudhibitisha unayosema mfano mzuri ni uzi wako umeutoa ukiomba kitabu cha mtanzania aliyeeleza jinsi tukio lilivyokuwa. Great thinker huwa anatoa nondo kwa reference na si kumshambulia kupe wakati wewe mwenyewe umekuja hapa kuomba reference kwa wadau
 
Last edited by a moderator:
Wamefanikiwa sana wamarekani kuwashika wanadunia
maskio

Kweli mkuu! hiyo ni janja ya mmarekani kutengeneza Islamophobia! ili
kuwaangamiza waislamu na nchi za kiarabu zinazopingana na sera zao_Ona
wanavyoonyesha na kushabikia arab uprisal! utadhani kweli wana uchungu
na waarabu!
 
una ushahidi wa kutosha na umesema upo hapa kuwasaidia watu kama kupe wakati reference humpi ili kudhibitisha unayosema mfano mzuri ni uzi wako umeutoa ukiomba kitabu cha mtanzania aliyeeleza jinsi tukio lilivyokuwa. Great thinker huwa anatoa nondo kwa reference na si kumshambulia kupe wakati wewe mwenyewe umekuja hapa kuomba reference kwa wadau

we naona unabadilisha mada! Mi namshambulia kupe?sio yeye amenishambulia?ama kweli nyie ndo watanzania halisi!soma comments za kupe! Then pitia maneno yako! Afu muungwana kama huna majibu ya kilichoombwa na fikiri ni busara kufunga page na kuendelea na mambo mengine!huwez jua kwanini natafuta hiki kitabu!anyway tunaeleweshana ndo maana ya conversation kama hizi!

Mwenye kujua please anisaidie!
 
Hakuna adui anaitwa Osama kivipi wakati mwaka jana tumesikia ameuawa huko Pakistani? Halafu hao Al-Qaida aliokuwa akiwaongoza si ndio waliotupiga mwaka 98?

Umemuona huyo Osama unayesema ameuawa? Hata picha waliweka? Au umeambiwa tu mkuu?
 
we naona unabadilisha mada! Mi namshambulia kupe?sio yeye amenishambulia?ama kweli nyie ndo watanzania halisi!soma comments za kupe! Then pitia maneno yako! Afu muungwana kama huna majibu ya kilichoombwa na fikiri ni busara kufunga page na kuendelea na mambo mengine!huwez jua kwanini natafuta hiki kitabu!anyway tunaeleweshana ndo maana ya conversation kama hizi!

Mwenye kujua please anisaidie!

Maneno yangu unatakiwa uyaangalie kwa jicho la upendo kwani siku zote ukisoma kitu kwa hisia ya kwamba unashambuliwa siku zote majibu yako yanakuwa kama ulivyotoa kwani hata mjinga huwa anajibiwa katika style ya kumwona mwerevu ili mwisho wa siku azidi kukufuata kwa maelekezo, kwanza mie hapo nimekupa chachu ya ili uweze kwenda sambamba na kupe umpe reference ili a-prove wrong na ndio maana nika-link na uzi wako ulioutoa wa kuomba msaada wa kitabu nikiwa na maana kwamba ulinvomjibu huyo jamaa sivyo in relation to your request. Nilichoingilia hapa ni issue ya Great Thinker (hili ni neno kubwa sana) ambalo sifa yake kuu kama mtu amekujibu sivyo unavyofikiria kinachotakiwa ni kumrudishia hoja zenye mashiko mpaka ataelewa na ndio lengo la JF. Kwani siku zote mawazo ya watu wawili hayawezi kulingana na UKIONA WATU WAWILI KILA WANACHOKIJADILI WANAKUBALIANA KIURAHISI BASI MMOJA WAO HAFIKIRII hivyo kutofautiana kwako na kupe na mimi nilivyoingilia ndio afya ya mjadala.(hiyo conclusion yako ndio ya msingi zaidi hivyo usikasirike acha wadau waje na hicho kitabu ikishindikana kuna reference material nyingi zinazoendana na hoja yako hiyo)
 
Last edited by a moderator:
Hakuna adui anaitwa Osama kivipi wakati mwaka jana tumesikia ameuawa huko Pakistani? Halafu hao Al-Qaida aliokuwa akiwaongoza si ndio waliotupiga mwaka 98?

Hivi mmarekani amkamate Osama ambaye alimtafuta miaka 10 nzima then asimuonyeshe kama Gadafi alivyofanyiwa?? Angewekwa mtaani hata mwezi mzima dunia ishuhudie. Ilo changa la macho hata raia wao wanalitia shaka. Uzushi mtupu
 
najiulizaje mjuwe

baada ya sept 11 Osama na kikundi cha alqeeda walithibitisha kuwa wao walihusika na baada ya muda walikuwa wanatoa Video zenye taarifa zao kupitia aljazeera.

baada ya kifo chake wakaibuka watu wakawa wanakanusha kuwa Osama mwanaume hawezi kuuwawa kirahis vile.
Baada ya muda dr Zawahir akaja kuwa kaimu wa Osama bin laden na kikundi kilikuja kukiri kuwa bosi wao kauwawa na USA millitary convoy
Aswali je ?

1. Osama aliwahi kutokea duniani?
2. kama alitokea aliwahi kuishi Marekani
3.Je amewahi kulitumikia Taifa hilo kubwa
4.Je ni kweli alihaidiwa kupewa kitu ili awafanyie kazi fulani
5.Je alilipwa
6...........
Mzanzibari aliepelekwa Guantanamo alihusika na kikundi cha Alqaeeda
je Clinton -Bush-Obama nani alipenda kuonekana shujaa ktk kumkamata Obama ?
 
ungekuwa na akili timamu usingeleta hiyo hoja au swali. Sisi watanzania (wa afrika) na mataifa mengi duniani tulikuwa hatumjui OSAMA. Wao WAMAREKANI wakaja wakasema wana adui yao anaitwa OSAMA na amejificha na wanamtafuta. Baadae wakasema wamemkamata PAKISTAN na wamemuua mbele ya mkewe na watoto na wakazika baharini .sasa wewe uko bongo na hayakuhusu bado unalalamika . WANGEJIULIZA SWALI HILO NI SAUD ARABIA AMBAKO NDIO KWAO . NA PAKISTAN ALIKOJICHA.
jiulize na wewe kwa nini marekani aliripua balozi zake dar es salam na nairobi na kuuwa raia wake na raia wa nchi hizo mbili kwa maslahi yake ya kisiasa na ya kiuchumi??!!
 
Safi sana . Kweli wewe ni great thinker waelekeze vijana . Maana kuna vijana humu wamevamia wamemaliza secondary juzi wanasubiri huruma ya TCU wapande nafasi ya kwenda chuo nao wanajiita great thinker. how comes ujenge hoja ya kitu usichokijua na hata vitabu hujasoma . Sasa unajengaje hoja. KUTOKUJUA SI KOSA . WANAOJUA WATAKUELEKEZA.
 
Back
Top Bottom