Sensa

MONGATE

New Member
Aug 20, 2012
3
0
Wale wote mliopata nafasi za kazi katika ukarani wa sensa ya watu na makazi Tanzania 2012 ni jukumu zito sana mlilopewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hivo ni vema mkafanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha zoezi hilo linakamilika kwa kiwango kizuri.Lakini pia ni jukumu letu sisi sote wananchi kujitokeza kwa wingi na kutoa taarifa zilizo sahihi kwa makarani wa sensa katika kufanikisha ufanisi wa zoezi zima.
 
sensa = nonsense = senseless sihesabiwi hadi nione faida ya sensa, hivi kipengele cha dini kimewekwa?
 
Wale wote mliopata nafasi za kazi katika ukarani wa sensa ya watu na makazi Tanzania 2012 ni jukumu zito sana mlilopewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hivo ni vema mkafanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha zoezi hilo linakamilika kwa kiwango kizuri.Lakini pia ni jukumu letu sisi sote wananchi kujitokeza kwa wingi na kutoa taarifa zilizo sahihi kwa makarani wa sensa katika kufanikisha ufanisi wa zoezi zima.
 
Na hata hivyo tumeshakuwa instructed kutohesabu mataahira

Watu wote wataolala tanzania usiku wa kuamkia tarehe 26/8/2012 ndio watakohesabiwa bila kujali kama ni mataahira au wendawazimu ama wazima ama wagonjwa! Wee hizo instruction za kutohesabu mataahira umezitoa wapi???

Na hata hivyo tumeshakuwa instructed kutohesabu mataahira

1. Kuna wamoja wanadai hawatahesabiwa: a) Mpaka waachiwe wapumue b) Mpaka kipengele cha dini kiwekwe> hawa sijui wanaliangalia jambo hili kwa miwani ya dini kweli kweli au na siasa na maslahi fulani yanawasukuma huko.

2. Kuna wengine wameshupalia kwa namna ya ajabu kidogo, kuhamasisha watu wahesabiwe, kuwaita wenzao mataahira, kuwasema kwa vijembe. Nao wanashangaza kwa sababu kwa desturi wamekuwa wakipinga mengi ya Awamu hii. Kwa sababu wengine wanapinga wao ndio wamepata nguvu ya kuunga mkono au kuna kijambo kimejificha? Au ndoa ya dharura?

Nanyi nenani ya kweli ya nyoyo zetu.
 
tuombe watu wakubali kuhesabiwa la sivyo ni balaaa
kwanza wewe umeanza kutumia jamii forum baada ya kupata ukarani wa sensa ni mtoto mdogo kufanya mjadala hapa, maana umember umeanza juzi, junior member duhhamna atakaehesabiwa kawambie waliokutuma wakakupa advance
 
Back
Top Bottom