Sensa yaingiwa na Giza kufanikiwa kwake majariwa

Hapo ndipo upeo wako wa kufikiri ulipofikia anyway lets go, the day will come we will have real dream
tuonyenye wewe upeo wako hii ndivyo ilivyo sijasema mimi so usifananishe na upeo wangu kunguru we
 
Kwani waislam hamuwezi kujihesabu wenyewe hadi mhesabiwe na serikali? Mbona ni kitu rahisi sana! Mngesubiri zoez la taifa likafanyika then nanyi mkaendesha lenu, kwa kujuchukua idad ya watz mngejua mpo asilimia ngapi, simple,au mnataka kodi zetu ziwahesabu?
Very simple mathematics
 
Hawa jamaa ni shida kweli kweli
402112_499938143366174_1990344284_n.jpg
 
tuonyenye wewe upeo wako hii ndivyo ilivyo sijasema mimi so usifananishe na upeo wangu kunguru we

hata kunguru wanatofautiana kuna wenye mabaka na weusi,
upeo wa kufikiri kila mtu ana wake ndio maana kuna madoctor bingwa lakini wote wamesoma kozi moja acha hizo tumia bongo ku think before use

Kushindwa kuwa zoezi hili ni dhahili kabisa kwa sababu nyingi tu:
1. Makarani wamechukuliwa kwa kujuana na wasimamizi wa sensa amabo wengi ni sisiemu, unamkuta karani hajui lugha ya kisukuma anapangiwa kwenda kufanya kazi maeneo ya Igwambiti - Buhongwa Mwanza; kwa vyovyote vile karani huyu hataweza kuwasiliana na wananchi hao ambao kiswahili kwao ni kama kiarabu.
2. Wabunge walipewa pesa kwa ajili ya kuhamasisha sensa, tuambizane ni wabunge wangapi wameonekana mitaani / majimboni kwao wakifanya kazi hiyo?
3. Wenyeviti wa mitaa hawajashirikishwa hata kidogo; tutegemee nini iwapo makarani wataingia mitaani na kuomba ushirikiano kwa wenyeviti hao amabo hawajapewa hata hela ya soda?
4. Tunavyojua sensa madhumuni yake ni kujua idadi ya wananchi ili serikali iweze kuwahudumia; ni lini serikali ya sisiemu ikawahudumia wananchi wa Tanzania badala ya kuwaibia hata kile kidogo walichonacho?
5. Wewe unayesoma haya una lipi la kuongezea? .......

hapo kwenye red si kweli mbna mimi siko ccm na nimepata toa hoja za msingi
 
Back
Top Bottom