Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,614
Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa.
Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza watanzania, what are their hopes and expectations of their government? Ili serikali yetu ijue what are the general expectations za wananchi wake, wangetaka serikali yao iwafanyie nini, na wao wako tayari kuifanyia nini Tanzania?
Swali hili liwe as an optional question and not compulsory, ili kupima kiwango cha matumaini na matarajio ya watanzania kwa serikali yao, serikali yetu kupata a feedback from its people na serikali kujitathmini if it's going to meet it's peoples expectations. And if their expectations are too high or too great that can't be met, then tujue tunakwenda kwenye direction of despair!
Hii ni kwasababu hakuna utaratibu wowote rasmi wa ushirikishwaji wa wananchi kujua wanataka nini kwa nchi yao and their expectations of their government na wajibu wao kwa nchi yao na serikali yao. Ndio maana mpaka kesho bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi, wakati kwa wenzetu wananchi wanakuwa proud kulipa kodi ili kodi hiyo itumike kutekeleza their expectations of their government.
Nimeishi kidogo nchi za wenzetu kama US, UK, France, Uswiss, Italy, na Sweden, katika majiji ya London, Paris, New York, Geneva, Rome na Stockholm. Maisha kule ni miongoni mwa nchi zenye the highest standards of living and the quality of life. Wananchi wa nchi hizo wanasema expectations zao kwa serikali yao, na serikali yao inawaambia ili kuyafanya hayo wanapaswa wawajibike kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi willingly. Huku kwetu mpaka kesho, bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi wakati kwa wenzetu, mtu unajisikia proud kulipa kodi. Moja ya sifa ya uongozi ni kiongozi husika anavyolipa kodi.
Wenzetu wana health insurance for all, mwanamke ukipata ujauzito bila kuolewa/single mothers wanapewa child support. Ukitimiza the age of the majority ukimaliza shule ukakosa ajira ya kuendeshea maisha yako unalipwa unemployment benefits, social security ni kwa wote. Ukitimiza umri wa miaka 80 unakuwa ni senior citizens, ulipwa mafao ya uzeeni na kutunzwa na serikali mpaka pale Mungu atakapo kuita. Yote hayo yanawezekana kutokana na kuwa na uchumi Imara. sisi Tanzania tuna kila kitu cha kutuwezesha kufikia kiwango hicho.
Tanzania tuna watu wengi wa kutosha, tuna ardhi nyingi tuu ya kutosha yenye rutuba, ardhi hiyo ina vyanzo lukuki vya maji, ina madini na maliasili za kutosha, tuna siasa safi na uongozi bora chini ya Mama Samia, sasa tunakwama wapi? Kwa maoni yangu kutokana na uzoefu wangu wa exposure niliyo ipata kwa kuishi nchi za wenzetu, kitu pekee kinachotukwamisha Tanzania ni hatuna smart objectives kwenye mipango mkakati yetu ya kitaifa na hatupeani mrejesho ili kuona tulikwama wapi. Tulikuwa na MKUKUTA, MKUZA, MKUMBITA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, MATOKEO BORA sasa tuna DIRA 10/30, je mipango hii ina smart objectives?
Natolea tuu mfano mdogo wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli ya SGR, hili ni jambo jema sana. Kabla ya reli ya SGR, tuna reli ya kati na reli ya TAZARA, both ziko under utilised! Kwa nini? Kama tumeshindwa kukitumia kikamilifu hiki kidogo tulichonacho na kukimbilia kujenga kikubwa, hiki kikubwa kitabeba mzigo kutoka wapi ili kizalishe kwa faida?
Wachumi wanaojua kufanya hesabu za multiplayer effects za fedha zilizotumiwa kwenye miradi hiyo miwili kama zingezamishwa kwenye sekta ya kilimo, wapi zingezalisha multiplayer effects kubwa?
Wenye nchi ni sisi, kwa Kizungu wanasema "It's we the people", hivyo we have all the rights to express our expectations kwa serikali yetu and demand anything from our government na serikali ije na majibu ikiwemo wajibu wa sisi kutimiza ili tutekelezewe.
Mimi mwenzenu Mzalendo Pasco Mayalla, na familia yangu, tuko tayari kuhesabiwa, Vipi Wewe msomaji wangu?
Natoa wito, Agosti 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wote kwa wahesabuji ili kuhesabiwa!.
Mungu Ibariki Tanzania
Wasalaam
Paskali