SENSA IPITE MAENEO yote ya nchi yetu.

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Zoezi la kuhesabu watu (SENSA) limeongezewa muda wa wiki moja baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya maeneo hayajafikiwa.

Napenda kuwakumbusha kuwa ili kupata takwimu halisi ya Watanzania ni muhimu kupitia kila sehemu.

Maeneo ambayo nina hofu nayo ni Mabondeni ambamo wananchi wake walihamishiwa MABWE PANDE lakini kuna baadhi wamebaki, Madale ambako Jeshi la Polisi na Uongozi wa Manispaa ya Kinondoni waliendesha zoezi la Bomoa Bomoa, na maeneo mengine yenye utata wa kimakazi.

Je, kwa mlio na taarifa maeneo haya yenye utata wa kimakazi yamefikiwa na watu wa SENSA????



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom