Sensa dodoma mjini.

MTORI

Member
Jun 19, 2012
46
4
naombeoni update za majina ya makarani wa sensa dodoma mjini yamebandikwa wapi?
 
ndugu yangu nimepitapita pale manispaa mchana kati ya saa 7-8 but sijaona chochote kwenye notice board zote za manispaa. hebu kuweni na subira mvute vya heri.
 
wakuu naomba kuuliza hivi Dodoma hakuna kuhesabiwa? maana majina hadi leo bado hayajabandikwa huku.
 
Dom ni nouma,pale kwa mkuu wa wilaya kuna kitangazo kinasema majina bado hayajawa tayari na kwamba yatakuwa tayari baada ya siku chache,walibandika tangazo hilo ijumaa!!Duh,kwan semina zinaanza kesho?
 
Dom wanaboa sana,ijumaa walibandika tangazo wanadai majina hayajawa tayari,na kwamba yatakuwa tayari baada ya siku chache!!!sijui itakuwaje,mbona pengine wanaanza semina kesho?
 
Kuna baadhi ya Walimu wanadai majina yao hayatatoka kwa vile walikuwa ndani ya mgomo, naona hiyo ndio sababu ya kuchelewesha kuyabandika, kwani ule Waraka wa TAMISEMI umewashtua kila aliyejiandikisha kwenda kuhesabu Sensa
 
semina zitaanza rasmi tarehe 9/8 alhamisi. na sio tarehe 6 kama ilivyotangazwa,
 
Dom ni nouma,pale kwa mkuu wa wilaya kuna kitangazo kinasema majina bado hayajawa tayari na kwamba yatakuwa tayari baada ya siku chache,walibandika tangazo hilo ijumaa!!Duh,kwan semina zinaanza kesho?

yaah! mi nlikuwa najua semina zinaanza tarehe 6 ambayo ni kesho sijui labda kuna mabadiliko ya ratiba
 
Kuna baadhi ya Walimu wanadai majina yao hayatatoka kwa vile walikuwa ndani ya mgomo, naona hiyo ndio sababu ya kuchelewesha kuyabandika, kwani ule Waraka wa TAMISEMI umewashtua kila aliyejiandikisha kwenda kuhesabu Sensa

ebana walaka gani tena huo mzazi?
 
Kwa taarifa kutoka kwa mtu aliyeko jikoni kutokana na mgomo wa walimu kutokea kwa hapa mkoani DODOMA. MKUU WA MKOA AAGIZA WALIMU WOTE WALIOSHIRIKI KUFUKUZWA KAZI MARA MOJA HII IMEPELEKEA ZOEZI LA SEMINA AMBAYO INGEFANYIKA TAREHE SITA(6) KUAHIRISHWA MPAKA TAREHE TISA(9) ILI KUSHUGHULIKIA KUWAENGUA WALIMU KATIKA ZOEZI HILO LA SENSA, INGAWAJE BAADHI YA VIONGOZI WENGINE WALIJARIBU KUPINGANA NA KAULI HIYO WAKIWEMO WAKUU WA WILAYA LAKINI MKUU HUYU WA MKOA AKASEMA HILO WAMUACHIE YEYE ATAWAJIBIKA NALO
 
pwani wamechua walimu tu
 
Back
Top Bottom