Sensa 2012

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
kipanya_16_-_07_-_2012_20120717_1452654059.jpg
 
Hiyo Sensa inawahusu nyie mlio kuwepo hapo Tanzania je na sisi hatupo hapo Tanzania itatuhusu kivipi? Au ndio hatuhesabiki kama ni Wa Tanzania? Mkuu Young_Master?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu au DryRoot, kumbuka hata wageni watakaolala TZ usiku wa kuamkia tarehe 26 Agosti watahesabiwa. Wewe jihesabu mwenyewe. Anyway welcome back home.
Mim nina kazi nyingi huku nilipo siwezi kurudi nyumbani eti kwa sababu ya kuhesabiwa kwani mimi nimegeuka mbuzi au kondoo waliopotea mpaka nirudi kwa sababu

ya kuhsebiwa? mara ya mwisho nilikuwa huko nikahesabiwa ilikuwa ni mwaka 1980 wakati wa Uongozi wa baba wa Taifa

Mwalimu nyerere sasa inatosha mukinihesabu kuwa ni mwenzenu sawa la kama sio mwenzenu pia sawa kuhesabiwa hakunizidishii kitu kwangu wala kunipunguzia kitu kwangu nakutakieni Sensa njema....mkuu Kanyapini
 
Mkuu MziziMkavu, matokeo ya sensa yakitoka tu, nita ongeza 1 ili na wewe uweumehesabiwa.
 
Hiyo katuni ni kama inalenga kuwakejeli wapenda pilau na ubwabwa wanaotaka kugomea sensa.Au sijaelewa?
 
nkilala sehem mbili watanihesabia wapi?!! mfano nimelala hom hadi saa 8 then nkaenda kwa shost yangu mwenye matatzo nkalala hadi asubuh!! watanihesabia wapi!!? Young_Master mzima wewe!!??
 
Last edited by a moderator:
matokeo ya sensa hasa ni nini? manake tangu wameanza kuhesabu awamu nne zilizopita ktk kijiji che2 hakuna mabadiliko. kila kukicha afadhal ya jana 2na ngoja kesho. hii Tz bwana ajira kweli2
 
Watnzania tuna tatizo la kufikiri na kuwa wabunifu, tunatumia rasilimali nyingi kwa vitu visivyo na tija, eti sensa,

1.kuna umuhimu gani kufanya sensa alafu na kutoa vitambulisho vya uraia kwa wakati mmoja. utaratibu ukipangwa vizuri wa kutoa vitambulisho vya uraia ndo sensa tayari, au tuna kariri, tumepitia shule za kukari tu

2.simple mathematics, ukishakuwa na database ya raia wako unacho fanya ni kujua nani kaingia, nani katoka nani kazaliwa, nani kafa. its just additional and substraction, unaokoa mabilioni ya pesa, unahakikisha unaregister vizazi na vifo kuanzia serikali za mitaa- kata- tarafa- wilayani -mkoa hadi taifa, kila siku- wiki- mwezi- mwaka mpaka miaka kumi ya sensa itapofika

3.vitambulisho vya uraia, na sensa ni misuse of resource na upeo mdogo wa kufiri na kubuni mambo mapya yanayoendana na matakwa ya nyakati , sayansi na teknologia
 
Back
Top Bottom