Sensa 2012

Hiyo Sensa inawahusu nyie mlio kuwepo hapo Tanzania je na sisi hatupo hapo Tanzania itatuhusu kivipi? Au ndio hatuhesabiki kama ni Wa Tanzania? Mkuu Young_Master?

hee! kumbe haupo Bongo? Siku ukiwa unakuja njulishe nkupokee, then ntakusimulia habari zootee za sensa na umuhimu wake kwa mlio huko nje ya kwetu huku.
 
Asante nitakujulisha siku ya kuja kwangu inshallah. Ninakutakieni na Sensa yenu njema bombu

Ila mkuu MziziMkavu kabla haujaonana naye inabidi kwanza unijulishe mtakutana wapi ili nitege kamera kila kona hadi chooni ili kuhakikisha kuwa hakuna chochote kitakachoendelea kati yenu
 
Last edited by a moderator:
Ila mkuu MziziMkavu kabla haujaonana naye inabidi kwanza unijulishe mtakutana wapi ili nitege kamera kila kona hadi chooni ili kuhakikisha kuwa hakuna chochote kitakachoendelea kati yenu

Ayiii...! kumbe wewe ni jipaparazi, ngoja nisepe mitaa hii hainifai. By ze way MziziMkavu usimsikilize huyu ni mnoku noku tuu. Habari zote za sensa utazipata kwenye gazeti letu pendwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom