avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 7,365
- 12,864
Sizungumzii provocation unayoifahamu wewe , ya ma heat of passion na ma objective test. Nazungumzia provocation ambayo kiukweli ipo na sheria imeshindwa kuitafsiri na ambayo haitumii kipimo hicho cha kienyeji na kilichopitwa na wakati kiitwacho " OBJECTIVE TEST" utajua vizuri baada ya mimi na wanasayansi wenzangu kukamilisha kutengeneza kipimo kipya kiitwacho " MIND METRE" hiki kitapima kwa usahihi kabisa na kutoa viwango vya provocation kwa kila kitendo na tutaweka kiwango cha kawaida cha mtu na kinapozidi hapo ndio tutagundua kuwa "POWER OF SELF CONTROL" ilipotea kutokana na kiwango cha provocation alichokuwa nacho mtu ambacho kinatofautiana kutokana na mtu na mtu na si rahisi eti mtu mwingine akielezee " OBJECTIVE TEST"Hivi nikuulize kitu limitation ya defense ya provocation inakua applied katika masuala yapi?