Sen. Lindsey Graham eyes 'birthright citizenship'

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
Sen. Lindsey Graham (R-S.C.) announced Wednesday night that he is considering introducing a constitutional amendment that would change existing law to no longer grant citizenship to the children of immigrants born in the United States.

Currently, the 14th Amendment grants citizenship to any child born in the United States.

But with 12 million illegal immigrants living in the U.S., Graham said it may be time to restrict the ability of immigrants to have children who become citizens just because they are born in the country.

“I may introduce a constitutional amendment that changes the rules if you have a child here,” Graham said during an interview with Fox News’ Greta Van Susteren. “Birthright citizenship I think is a mistake ... We should change our Constitution and say if you come here illegally and you have a child, that child's automatically not a citizen.”

Asked how intent Graham is on introducing the amendment, the South Carolina Republican responded: “I got to.”

“People come here to have babies,” he said. “They come here to drop a child. It's called "drop and leave." To have a child in America, they cross the border, they go to the emergency room, have a child, and that child's automatically an American citizen. That shouldn't be the case. That attracts people here for all the wrong reasons.”

Graham insisted that he wants to be “fair” and “humane” in dealing with the children of immigrants but doesn’t want to see an already significant immigration issue become larger.

“I'm a practical guy, but when you go forward, I don't want 20 million more 20 years from now,” he said. “I want to be fair. I want to be humane. We need immigration policy, but it should be on our terms, not someone else's. I don't know how to fix it all. But I do know what makes people mad, that 12 million people came here, and there seems to be no system to deal with stopping 20 million 20 years from now.”
 
Huyu atataka kuleta matatizo ya stateless people, hawa so called illegal immigrants watazaa watoto ambao watakuwa sio tu second generation illegal immigrants, bali pia hata stateless people.

And the more one has nothing to lose, the more dangerous one becomes.Push these people against the wall and you are sure to have countless civil unrest situations or even political assasinations patterns that would make the sixties look like child play.

Mtu kazaliwa Marekani, mnamkatalia uraia wa Marekani, akirudi Mexico wanamwambia wewe si Mmexico kwani umezaliwa Marekani.Kazi itakuwepo hapo.
 
Unajua hawa jamaa hili suala la wahamiaji limewachanganya kiasi kwamba hata uono wao wa mambo unaonekana mdogo. Dawa ni kudhibiti border kule kusini ili wale jamaa waskatize zile panya road na ujauzito wa miezi karibia tisa kuja kujifungulia US.
 
Sijui kama senetor anaelewa kwamba sababu ya maendeleo
Marekani ni wahamiaji au ameanza kuchanganyikiwa sasa.
kwani utamkataaje mzawa? Hiyo ni haki yake ya kuzaliwa
kama yeye alivyoipata.

Uingiaji (influx) wa wahamiaji ndiyo chachu ya maendeleo
marekani iwe kwa cheap labor au skilled.

Mhamiaji huwa anatabia ya kuhangaika kwasabau anajua
hana chake. Si shangazi, binamu, mjoba n.k. Huyu huwa
yuko makini katika maisha yake mfano huwa hajiingizi
kwenye mambo yanayoweza kusababisha kuwa kweye radar
(kushikwa na polisi).

Kwasabau anajua akikanyaga miwaya wanaweza kumrudisha
alikotoka. Huyu jamaa yetu kama atapata mtoto huko aliko
basi huyo dogo atakuwa ni raia wa hiyo nchi.

Kwasabu dogo ataona jisi wazazi wake wanavyoishi na
atakuwa anasikiliza hadithi za wazazi wake wakimueleza
jinsi walivyo hangaika, huyu mtoto ambaye ni "first generation"
atakuwa tofauti na wale warika lake ambao wazazi wao
ni wazawa.

Mtoto kujifunza (unconsciously) kwa kuona wakubwa zake
wanavyo ishi. Huyu mtoto akikua na kupata mtoto wake
mwenyewe ambaye ni "second generation" atakuwa hana
habari na asili yake wala hataona uhangaika kama ni kitu
cha lazima kwasababu kila kitu kwake ni "given".

Bila ya hii influx kutakuwa na idadi kubwa ya watu wenye
mawazo ya "its ol good in da hood" ambao wanategemea
foodstamp kuishi (yaani wanaona wako entitled na serikali
kwa kila kitu)

Wakati mwingine watu huwa wanalewa maendeleo na
wanasahau chimbuko la hayo maendeleo.

Wakileta hayo mambo ya kukataa "birthright " mbona ma
DC snippers watakuwa wengi tuu, kutakuwa na ugaidi
waajabu tena ukiangalia bunduki zinavyo uzwa kama njugu?

Unapo mwondolea mtu haki yake ya kuzaliwa huyo mtu
atakuwa radhi kufa kuliko kukosa hiyo haki.
 
Unajua hawa jamaa hili suala la wahamiaji limewachanganya kiasi kwamba hata uono wao wa mambo unaonekana mdogo. Dawa ni kudhibiti border kule kusini ili wale jamaa waskatize zile panya road na ujauzito wa miezi karibia tisa kuja kujifungulia US.

Mkuu suala la "Jus soli" linaonekana wazi kuwa linawanufaisha Democrats. Ni wahamiaji wachache sana wasio caucasian wanaokiunga mkono Republican. Research zinasema kuwa in the next fifty years USA itakuwa imebadilika yaani minority wa leo watakuwa ni majority. Sasa Republican wanalijua hili kuwa si suala zuri kwa hatma yao kwani chama chao kinakuwa ni more angry recists white males. Na hii ni threat kwao kama ilivyo upande wa CCM kama watanzania majority watakuwa wameendelea kielimu na kiuchumi
 
Back
Top Bottom