Rais Kikwete amepanga kufanya semina elekez kwa wananchi wa arusha.Itafanyka pale ktk hotel ya ngurukulwa.Lengo ni kurejesha imani kwa wakaz wa arusha juu ya chama chake,na kuwapa majumuisho ya utalii wa dunia,maana amechukua tuzo ya rais mtalii duniani.Na mikakat mipya jnsi ya kuongeza umaskini,msikose tarh mtashtukizwa tu.