Semina elekez kwa wakaz wa arusha.hasa wanaopinga ufisad.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Rais Kikwete amepanga kufanya semina elekez kwa wananchi wa arusha.Itafanyka pale ktk hotel ya ngurukulwa.Lengo ni kurejesha imani kwa wakaz wa arusha juu ya chama chake,na kuwapa majumuisho ya utalii wa dunia,maana amechukua tuzo ya rais mtalii duniani.Na mikakat mipya jnsi ya kuongeza umaskini,msikose tarh mtashtukizwa tu.
 
Sijui bana labda yupo maana kimya mno utafikiri nchi hii haina raisi bana hata Riz1 naye kimya dah! cjui kuna nini.
 
Dah..!ningejickia vizuri sana ningeambiwa kwamba anaumwa yupo hoi mda wwt anaiaga dunia. Ningefurahije...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom