Sema neno please.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
.....Eti wandugu,jana tulikua na ubishi sana na warafiki
wengine na nimeamua kuleta hapa debate hiyo...

Nataka kuwauuzia hii kesi...
Ukiingia baa au pub na ukamuona binti mreeembo sana
amekaa peke yake Kaunta anapata kinjwaji/kilevi.
Ni picha gani unayo ipata kwa haraka kwenye mind yako?

1) Lonely
2) Stressed
3) Confident lady

Just curious.

559535_2594192433661_1820198442_1506650_316382981_n.jpg
 
Pigeonholing people is not cool so I usually don't care. I don't pay attention to anyone. I just mind my own business - as it should be.
 
acha nitegeshe masikio hapa maana huo ndo mchezo wangu........ Na nachukia nikiwa nimetulia nasikilizia kinywaji changu kinavyoteremka jitu lije kuniongelesha ongelesha............
 
Pigeonholing people is not cool so I usually don't care. I don't pay attention to anyone. I just mind my own business - as it should be.

Sikuelewi tena,jana nilikusikia bungeni ndo kabisaaa ulinichanganya.
 
acha nitegeshe masikio hapa maana huo ndo mchezo wangu........ Na nachukia nikiwa nimetulia nasikilizia kinywaji changu kinavyoteremka jitu lije kuniongelesha ongelesha............

Hahaha,.....okey.
 
Yupo mawindoni......, kumchomoa mtu au anatafuta mtu wakwenda kulindimisha poker vibrator in your fluid ()
 
Kama ni mahal pengne sawa,lakini kaunta wala sitajiuliza chochote coz najua hatakua peke yake coz kuna muuzaji pale.
 
Duuuh, mbona mi ndio zangu......ila mi sinywi pombe. Nakaa mahali napata nyama choma.....nakula najiondokea zangu, sina story......wala hivyo ulivyoviweka hapo juu sina pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom