Selelii aapa kuiangusha Serikali Novemba!

Kampeni za 2010 hizo!

Kama haridhiki na mambo ndani ya chama chake alipaswa afanye moja kati haya:
  1. Afikishe malalamiko yake kwenye vikao halali vya CCM au
  2. Ajivue uanachama wa CCM.
Kama hajafanya moja kati ya hayo basi atakuwa ameanza kampeni zake za 2010 ndani ya chama chake CCM dhidi ya wale anaowahisi wanataka kushindana nae katika kiti cha Nzega.
Sasa hivi tutawasikia wengi tu kama tulivyowasikia akina Kimaro (akilalamika kuwa kuna watu wanataka kuchukua JIMBO LAKE) wakijiwekea defence ya kupambana na ufisadi.
Ole Sendeka nae analalamika kuwa kuna wananchama wenzake wanataka kuchukua JIMBO LAKE nae anatumia mapambano ya ufisadi kwa kutaka kuhalalisha ubunge wake.
Ukweli utabaki palepale kuwa hakuna mbunge mwenye hatimiliki, waache papara na wafanye kazi zao na wananchi watawarudisha kwa kuangalia rekodi ya utendaji wao. Richmond isitumike kama ndiyo ajenda ya uchaguzi, ikichujuka itakuwaje au ndiyo itakuwa kama mambo ya Mrema na Chavda?
 
....Afikishe malalamiko yake kwenye vikao halali vya CCM...

Hili linawezekana, ila sisiemu haina demokrasia ya uwazi kihivyo, kwa hiyo basi inawezekana kabisa haki isitendeke. Tumesikia mara kadhaa watu wakishikishwa adabu kwa kulalamikia baadhi ya masuala ambayo hayaendi sawa ndani ya chama (hasa double standards). Mmojawapo wa wanachama aliyelalamikia suala hili ni Mhe. Godfrey Zambi wa jimbo la Mbozi (sina uhakika km ni Mbozi Magharibi ama mashariki, mnirekebishe).

....Ajivue uanachama wa CCM...

Suala hili ni gumu sana kwa aina ya wabunge "njaa" tulio nao sasa, kwa sababu kujivua uanachama maana yake ni kujivua na ubunge pia. Binafsi namkumbuka Agostino Mrema tu, ambaye alidiriki kuchukua uamuzi huu mgumu kwa wabunge wengi.
 
Tatizo ni kwamba selelii kabanwa mbavu na kijana mdogo, msomali wa Tanzania ( hatuna kabila hilo), na kibaraka anayefadhiliwa mafisadi, na kufanya kazi kampuni ya kifisadi naye niiiiii. Hussein Bashe
 
Hi ni hoja ya kipumbavu (samahani kwa lugha kali lakini sina njia nyingine ya kuonyesha mapungufu ya hoja hii ya shangazi)

Hakuna uhusiano kati ya kubanwa kwa selelii na huyu kijana unaemtaja na kauli aliotoa,Pia selelii kutoa kauli kama alotoa ni mtazamo wake maswali muhimu ambayo angetakiwa kujibu au kutolea maelezo kabla ya yeye kuonyesha dhamira yake ni kuwa aina gani ya adhabu alitaka hao watuhumiwa wapewe,ili tuweze kumpima baada ya NOV.

iSIJE KUWA NI KUTAFUTA UMARUFU KWA KUSEMA BAADAE SEREKali ikisema tunawachapa fimbo 2,kila mmoja wabunge wakasema sawa tumeridhika angelikuwa specific nini anadhani/anaamini ni adhabu stahili isipochukuliwa atafanya alichoahidi wapiga kura yake.

hoja ya kitoto kama ya shangazi not applicable wala haiwezi kuwa ni justification ya kauli yake na msimamo wake,Je shangazi anataka kutuambia asingelikuwa amebanwa na huyu anaemtaja means asingelikuwa na msimamo huo? kwa maana hiyo we will doubt even credibility yake.
 
Tatizo ni kwamba selelii kabanwa mbavu na kijana mdogo, msomali wa Tanzania ( hatuna kabila hilo), na kibaraka anayefadhiliwa mafisadi, na kufanya kazi kampuni ya kifisadi naye niiiiii. Hussein Bashe

Moja, ni kwamba wewe ni mbaguzi, ukizingatia hilo neno nililokoleza wino!
Mtanzania anaweza kuwa wa rangi yoyote na asili yoyote madhali anakidhi vigezo vya kuwa raia.
Pili, Seleii hajabanwa mbavu na yeyote, ndio sababu inayomfanya atumie haki yake ya kikatiba ya kuongea bila kubughudhiwa. Ni wangapi katika chama chake wana ubavu wa kuongea anayoyaongea yeye na wenzake wanaokemea ufisadi akina Mwakyembe, Kilango, Kimaro na Zambi?
 
Hivi background ya Mh.Selleli ni vipi? Maana isigekuwa tunajipigia kelele hapa jamvini kumbe ni uwt msanii mzoefu wa cce'm!! Nataka kuihakikishia Jf kuwa kutokana na bunge lililopita kiko chuo kipya cha usanii kimenzishwa ssem. Wadanganyika tulivyo tutakuja gutuka mwaka 2013!
 
Kaka/Dada umeleta hoja nzuri kabla hatujajadili msimamo na kauli yake tuangalie Background ya Selelii.

1:Kielimu Selelii ni Form Four na amejaaliwa kufaulu kwa D mbili uchama sekondari.
2; Kisiasa, selelii ameingia bungeni 1995,kwa msaada mkubwa toka kwa RA,2000 pia ktk kura za maoni alishindwa na Bwana RA akamsimamia kuhakikisha kuwa Jina lake lina Rudi ndani ya kamati ya Siasa wilaya ya Nzega alipendekeza bwana anaitwa Abdalla nassoro baada ya kumshinda selelii,Mwaka 2005,pia huyu Bwana alisaidiwa na RA na katika uchaguzi huo RA alihamia jimbo la Nzega kuhakikisha huyu Bwana Selelii anashinda kura za maani kwa kuleta mamluki wengi na kugawa Rushwa kwa kiwangu kikubwa huku RA akiacha kwenda Jimboni kwake kwa kuwa hakuwa na upinzani.

katika General election RA ndie aliesimamia ushindi wa CCM jimbo la Nzega baada ya selelii kushinda kwa margin ya 10% against mgombea wa CUF.

Hii ndio background ya selelii huwa mara nyingi nina jiuliza huyu bwana lini amekuwa anachukia mafisadi wakati yeye ni sehemu ya ufisadi,je ni kwakuwa NDOA yake na RA imekufa?na nikitu gani kilichotokea?
 
Mimi hata aliyoyaibua Mh. Spika bado hayajaniingia akilini! Usanii, usanii wa ch ch'em
 
Hili linawezekana, ila sisiemu haina demokrasia ya uwazi kihivyo, kwa hiyo basi inawezekana kabisa haki isitendeke. Tumesikia mara kadhaa watu wakishikishwa adabu kwa kulalamikia baadhi ya masuala ambayo hayaendi sawa ndani ya chama (hasa double standards). Mmojawapo wa wanachama aliyelalamikia suala hili ni Mhe. Godfrey Zambi wa jimbo la Mbozi (sina uhakika km ni Mbozi Magharibi ama mashariki, mnirekebishe).

Suala hili ni gumu sana kwa aina ya wabunge "njaa" tulio nao sasa, kwa sababu kujivua uanachama maana yake ni kujivua na ubunge pia. Binafsi namkumbuka Agostino Mrema tu, ambaye alidiriki kuchukua uamuzi huu mgumu kwa wabunge wengi.

As I said before, Selelii yuko kwenye kampeni za 2010, hakuna la ziada.

Kimsingi nje ya ubunge huyu Mheshimiwa hana fani nyingine yeyote, he can't live without being an MP.

Kama kweli anakerwa na mambo jinsi yalivyo basi aweke rekodi sawasawa kwa kupeleka malalamiko yake ndani ya vikao halali, kama hataridhika, arudishe kadi ya CCM.

Haileti mantiki kwa kupiga kelele kuwa hii nyumba ninayokaa ya kupanga ni mbaya sana halafu ukaendelea kuishi humohumo.

Na safari hii kura za maoni zinapigwa na wanachama wote kwa kila tawi, kazi ipo, yangu macho!
 
katika General election RA ndie aliesimamia ushindi wa CCM jimbo la Nzega baada ya selelii kushinda kwa margin ya 10% against mgombea wa CUF.

Hii ndio background ya selelii huwa mara nyingi nina jiuliza huyu bwana lini amekuwa anachukia mafisadi wakati yeye ni sehemu ya ufisadi,je ni kwakuwa NDOA yake na RA imekufa?na nikitu gani kilichotokea?

Hivi aliyemfunga kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2005 huko Tabora mjini, huyu aliyekuwa katibu wa Fat Ismail Aden Rage, alikuwa selelii au mwingine.
 
wazee kiukweli hata nyie simlimsikia yule mbunge wa ukonga juzi alisema wanasisiemu wote wanaopambana na ufisadi waondoke kwenye chama sasa huyu jamaa na maswahiba wenzake waliopiga ile vita ya richmond wanahemea juu juu kwakuwa hawatakiwi kwenye chama lao kimsingi lazima walizue tu novemba kimzingi bro selelii wewe lizue tu novemba wamezidi hawa.........
 
kwa nini kwenye vikao hali hili ni suala la kitaifa??vikao wamekaa vingapi na wewe umepata nini juu ya hivo vikao?? tupa kuleee!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom