Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Wakuu!

Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!

Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
 
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection.
maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Kwani ungesema tu kuwa ni Wewe kuliko kusema ni Jamaa yako ungepungukiwa nini?
 
Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapaka

Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapakaa, elimu yenu imerahisishwa ukifeli kipindi hiki wewe ni zaidi ya sifuri
Dah! wangetuambia basi kabla hatujafanya application, Sasa round 2 Tena ushindani utakuwa mkubwa maana ni wengi watakaokosa
 
Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.

Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.

MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking

MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas

University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.

Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.

Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.

Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
 
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu
Alaf sijawahi kuwaza hili
 
Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection.
maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Kwan selection zmetoka?? C almanac ya Tcu wameandka tarehe 25
 
TCU wanakupangia muhas ila muhas kuna vigezo vyaooo...so watachaguaa maselulee wanawarudisha tcu alafu wanaoona wanastahili wanapita round 2...alafu kuna round 3 ukifika chuo ukipata sup zaidi ya 3 unarudi kijijini kwenu kulimaaa:D:D:Dmuhas shule hiyo
 
Wakuu!

Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!

Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Ila udom si aliomba?
Huko anapata. Asubiri mbona ufaulu mzuri tu huo.
 
Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.

Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.

MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking

MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas

University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.

Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.

Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.

Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
MD kwa hela yake imekaa vibaya. Labda uwe unazo hasa. Watu wanakimbilia mkopo.
 
Wakuu!

Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!

Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Mwaka huu boys mwisho ni 1.4
Girls ni 1.5 mkuu take note
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom