Hamis@naomba ni PM # yako nkuchek kwa ajili ya more details
tayari kaka,check ur PM
Jichangeni vijana mkatafute geto mapema, au mnitafute ntawapa mawasiliano ya watu wanaoweza kuwasaidia kutafuta kule. Kila la kheri
moja kwa moja kutoka site ya TUMAIN UNIVERSITY MAKUMIRA. MAJINA HAYA HAPA YA WALIOCHAGULIWA BACHELORS YAPO CHINI.
hivi itakuwajee maana kesho tarehe 29/9/2014 inatakiwa tuwe waliochaguliwa wawe wameshafika chuo na ili uweze kuingia chuo kwa maelezo yao kwenye web yao inasema lazima ulip ndiyo uruhusiwe kuji register je itakuwaje maana hata majina ya walipata mkopo hayajatoka?