Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

Umenigusa mkuu, nami nimesoma hapo enzi za mpogole/dudu. Mimi pia ni mtu mashuhuri kwa mieleka na kunyanyua vitu vizito.

Tuko wengi ndg na n maarufu saaana na ictoshe asilimia kibwa ya walio vyuon tosa inao maana ile shule inatema wanafunz weng per year na karibu wote wanafaulu kuanzia principle mbili hvyo kwenda vyuon,viongoz wapo wa kutosha ndg tena Tanzania one
 
Milambo high school haikos kumbka iljengwa 1922,ikitwa st.marry's,na miaka hyo mwl.nyerere akifndsha wamesoma wa2 kbao wakiwemo:
1.E.lowasa
2.Dr.h.mwakyembe
3.j moe
4.nkiendelea hapatosh!
 
Hivi inamaana mimi sio maarufu? Naona wenzangu wote wametajwa ila mimi bado, teheteheee au nitoe katakrima kama nilivyofundisha na... ..
 
ST. Mary's SEMINARY NYEGEZI MWANZA

1. Papaa KITALEKWA ( mimi mwenyewe hapa)

2. Hayati Askofu Balina

3. Hayati Askofu mayala

4. Andrew John Chenge

5. Raphael masunga chegeni

6. James Philip Musalika

7.Askofu Renatus Nkwande

8.
 
Milambo high school haikos kumbka iljengwa 1922,ikitwa st.marry's,na miaka hyo mwl.nyerere akifndsha wamesoma wa2 kbao wakiwemo:
1.E.lowasa
2.Dr.h.mwakyembe
3.j moe
4.nkiendelea hapatosh!

5.Joseph kabila
 
old moshi secondari....imetoa wajasiriamali kama
..mengi wa ipp
'''michael ngaleku shirima wa precision

.....
 
Songea Boys
1. Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta
2. Mwanasheria na Wakili Msomi Mbobezi Mabere Nyaucho Marando
3. Mwanasheria Mkuu wa UDSM Prof.Florens Dominick Luoga
4. Naibu Waziri wa Elimu-Phillipo Mulugo
5.Mimi...

hapo kwenye red hivi ni philip au AMIMU? naomba kujua
 
tabora boys,the great.nimfurahi wengi kulitambua hilo.


Hakuna mwenye ubishi kwenye hilo nina hakika. Unaikumbuka hii Meseji pale kwenye entrance?


Tabora Boys Entrance.jpg
 
tabora boys kichwa cha tanzania
1. wakuu wa jeshi wote
2. spika sitta
3. watoto wa machifu wote
4. n.k
5. mimi hapa mwenyewe
 
Back
Top Bottom