Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
This is for you mamitto!
Dedication to all those who have secret lovers. Play it safe lakini.
Do you have one?
Umewaza nini JS mpaka kuanzisha hii thread? lol!...naupenda huu mwimbo umetulia.
Well let's say I had one not long ago I loved him secretly never told him but I did. But he was too busy to feel what I was feeling so I gave up and let it go. Can be torturous at times.

SL wako NW umeshampata?
Bado bana....know her whereabouts? Hebu fanya fanya basi....
Hata sikumuuliza maza na msure wake na sasa nimehama - kama upo Bongo, pita ile njia ya vumbi kati ya Mlimani na Udasa jioni utawaona wakipiga tizi
Wamekusikia!
mbona wajitoa kimasomaso hivyo.....................wataka kuniambia huna hata mmoja wa aina hiyo?
Yaani hata kwenye fesbuku yako hayupo?