Nimesikia kuwa kuna wanafunzi wamefikia uamuzi wa kuchangishana na kukodi waalimu kwa ajiri ya kujiokoa na kufeli. Mimi niko tayari kusaidia kufundisha masomo kama Maths, physics n.k. kwa O'level kwa kuanzia na baadaye naweza kufundisha A'level kama ntapata muda wa kutosha.
Naomba kama kwa Dar es salaam kuna shule ina tatizo ktk masomo hayo na wanaweza japo kulipa kidogo basi tuwasiliane. Wanitumie private message hapa JF.
Naomba kama kwa Dar es salaam kuna shule ina tatizo ktk masomo hayo na wanaweza japo kulipa kidogo basi tuwasiliane. Wanitumie private message hapa JF.