Screen touch ya phone aifanyi kazi ghafla,tatizo nini?

funga macho uOmbe labda itafanya kazi, ndo msaada tunaoweza kukupa hapa kama hujaweka wazi ni simu gani, original au mchina,,,, :eyebrows: :eyebrows:
 
Asanteni,simu yangu ni T-mobile screen touch original,nilinunua mwaka jana december united states,jana nimeshangaa ghafla aifany kazi screen touch yake,msaada plz
 
Unatumia simu ya aina gani? Kama haujadondosha hiyo simu, kuikalia, kuimwagia maji au kuchange settings brobably tatizo linaweza likawa ni virus na njia pekee ya kutatua hilo tatizo kama linasababishwa na virus ni kuflash simu yako and nothing else
 
asante nikipata muda nitapeleka kwa fundi
 
hiyo itakuwa imekufa touch yake unabadilisha ingine cku zinakwenda mbele taja model alisi ya cm mkuu tujue kama zitapatikana
 
hiyo itakuwa imekufa touch yake unabadilisha ingine cku zinakwenda mbele taja model alisi ya cm mkuu tujue kama zitapatikana

Ebwana na miye nina shida na simu yangu, ni BB 9500 touch screen. Tatizo lake ni kwamba screen haionyeshi, ukiiwasha unaisikia sauti ikiwaka na hata mtu akipiga unaweza kuipokea ila huoni chochote. Ushakumbana na tatizo kama hili na inaweza kutengenezeka mkuu?
 
Back
Top Bottom