RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,806
- 108,160
scorpio me jina lako linafanana na mtuhumiwa......
Sawa Ila Charges Hapo Sijasikia Wakisema Jaribio La Kuua. Wamjumlishie Yote Na Matukio Aliyoyafanya Mwanzo Apotelee Huko.Unyang'anyi miaka 30 jela hamna msamaha. Sijui kutishia kuua ni miaka mingapi jela.
ha ha ha umetishaHuyo Angekuja kwetu Kimara Kwa Wanaume tuliojitoshekeza kwa mafunzo tukisapotiwa na manati ya Mzungu, angekiona huyo kollo
itabidi nibadili jina...sipendi ujingascorpio me jina lako linafanana na mtuhumiwa......
Kila mtu anaogopa kuongea anahc akitok atamwanzishia.ivi kuna mtu atajitokeza kweliWanajamvi tuache sheria ichukue mkondo wake na kuhamasisha wananchi wakatoe ushahidi ili apatikane na hatia huyo asiye na tofauti na gaidi
Polc wenyew wanamwogopa kipindi chote hicho wanataarifa walishindwa nini kumkamata kipindi chote hichoKisheria when attacked or provoked hutakiwi kuretaliate iyo ni kazi ya vyombo vya dola. Nadhan ndio maana watu wabugurun walisita kumchukulia hatua.
Pia kisheria ni polisi pekee yake mwenye uniform ndie anahusika kumtia nguvun mtuhumiwa.
Huyu ni mkuu wa media daresalama...HV makonda anafanya kazi clouds FM? maana naona kila kitu pale hata Leo pamoja na efm kufanya campaign kubwa ya mti wng lakini recognition imepewa clouds.
Mvua ya nini, nyonga hadi kufaDuh, afadhali huyo fedhuli kakamatwa, watu kama hao haina haja ya ushaidi ni kuwapiga mvua tu iwe fundisho kwa wengine
Inabidi na yy atobokewe macho kwanzaMvua ya nini, nyonga hadi kufa
Na ikiwezekana pia na yeye ang'olewe macho yote ili aonje utamu wake.Kosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.