Scopolamine/ Burundanga: Madawa ya kulevya hatari duniani

Dah ni msala kama yangekua kwa makahaba wa kibongo si wadau wangeisha jamani?
 
Huko south America haya mambo ya mitimiti wanayajua sana kuitizama filamu zao kuna Sumu nyingi wanatengeneza kiujumla hawafai kabisaaaaa.
 
Huko ndo kunafahamika kama Drugs Headquarters. Wanasupply dunia nzima
 
Kuna uwezekano mkubwa haya makitu yashafika bongo!
Refer cases za watu kuwa hpnotized na kuishia kulizwa hela ndo baadae wanakuja kuzinduka hawajielewi na wapo sehemu nyingine hasa jijini Dar!
Na kuna vijana wa kiarabu walikuwa wanaenda banks wanampulizia teller unga unga akilewa anatoa mabandle kadhaa ya manoti wao wanayeya akizinduka hawapo!
 
Possible mkuu
 
Back
Top Bottom