Basi mi nahisi nshawahi kupuliziwaKuna side-effects zake kwa wahanga wa haya madawa. Huwa wanakuwa na katabia ka-kusahau vitu Mara kwa mara
Yeye mwenyewe mkuu ndio maana nimestuka labda ozil mwanachamaHuyo jamaa anaeyapualiza anafanana na Mesut Ozil
Uongozi wa AWAMU YA NNE nahisi walipuliziwa huu unga....
Imejipost...
Hao watu khatari sana.Huko ndo kunafahamika kama Drugs Headquarters. Wanasupply dunia nzima
Hujapigwa wewe! Chunga kauli zako!Acha umbea utaolewa mkuu
Uongozi wa AWAMU YA NNE nahisi walipuliziwa huu unga....
Imejipost...
Possible mkuuKuna uwezekano mkubwa haya makitu yashafika bongo!
Refer cases za watu kuwa hpnotized na kuishia kulizwa hela ndo baadae wanakuja kuzinduka hawajielewi na wapo sehemu nyingine hasa jijini Dar!
Na kuna vijana wa kiarabu walikuwa wanaenda banks wanampulizia teller unga unga akilewa anatoa mabandle kadhaa ya manoti wao wanayeya akizinduka hawapo!
Kiuhalisia ndo hivyo, sema watu hawajastuka ili wapate kujihami!Possible mkuu