Scape Goat: Cult leader Charles Manson

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
He said when interrogated by the Reporter and I quote:-

#Charles Manson: " I don't think you people wanna know what I know; you wouldn't like it.

#Reporter: " why? "

#Charles Manson : "Well, because it isn't very nice

#Reporter: " but why? "

#Charles Manson: " because the people that you let run your lives are not very nice ; the people that govern you; the people that tell you people what to do, they are not good people.

#Reporter: " let me change the subject for a minute

Note : The more you KNOW the CRAZIER you SOUND!

Finally, He was killed by the C.I.A #R.I.P Charles

charles-manson-dead-at-83-2.jpg
 
Alikuwa Nani huyu "Charles Manson" Mwanaharakati, Gaidi, Muuza Madawa amaa..!!?

Nimevutiwa na Maongezi/Majibu yake. Ngoja nimgoogle....
 
Alikuwa Nani huyu "Charles Manson" Mwanaharakati, Gaidi, Muuza Madawa amaa..!!?
Nimevutiwa na Maongezi/Majibu yake.
Ngoja nimgoogle....
Alikua ni cult leader , lakini baadae ikafahamika kuwa alikua na UWEZO mkubwa , nguvu na MAARIFA mengi kuhusu Intelligence Matters + Divine issues . So akaanza kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na Usalama . Na MWISHO wakamuua.

R.I.P Charles
 
Alikua ni cult leader , lakini baadae ikafahamika kuwa alikua na UWEZO mkubwa , nguvu na MAARIFA mengi kuhusu Intelligence Matters + Divine issues . So akaanza kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na Usalama . Na MWISHO wakamuua.

R.I.P Charles
Acha uongo. Charles Manson alikuwa hypie (sijui kiswahili chake) ambaye alikuwa na kikundi cha wafuasi ambao aliwa-brain wash kisha akawaongoza kwenda kufanya mauaji mwaka 1969 huko Los Angeles, US. Waliouawa ni pamoja mke wa director maarufu wa sinema Roman Polanski ambaye pia alikuwa muigizaji Sharon Tate ambaye alikuwa mjamzito. Wengine ni Jay Sebrings, Abigail Folger, Wojciech Frykowski, Steven Parent, Leno LaBianca na mkewe Rosemaary.

Wauaji waliotekeleza mauaji hayo ni Tex Watson, Susan Atkins, Patricia Krenwinkel, Linda Kasabia, Bruce Davis, Clem Grogan na Leslie Van Houten.

Inasemekana Manson na kikundi chake walifanya mauaji hayo ili kuanzisha vita kati ya jamii zenye rangi mbalimbali "race war".

Manson na wenzake walishitakiwa na kuhukumiwa kifo, hukumu hiyo ilibadilishwa na kuwa kifungo cha maisha na mahakama kuu ya California. Manson alifariki gerezani mwaka 2017 akiwa na umri wa miaka 83.
 
Compare ulichokiandika , na nilichoandika
Umesema alikuwa na uwezo na maarifa kuhusu intelligence, WRONG. Hakuna ushahidi wowote kwamba Manson alikuwa na uwezo huo, he was just a deranged person.

Umesema alianza kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama, WRONG. Hakuna ushahidi wa hilo, kama unao ulete hapa. Mwisho umesema Manson aliuawa na hivyo vyombo vya ulinzi na usalama which is also WRONG, Manson alifia jela akiwa na umri mkubwa wa miaka 83.

Kama usingepost picha ningedhani unaongelea mtu mwingine, lakini huyo mtu anayeonekana kwenye hiyo picha ndiye Charles Manson ninayemuongelea.

 
Hahahaaa!
The don nalimison kumbe ndo maana akili zako zimekaa tenge. Unaanzaje kufuatilia harakati na historia za kichaa kama huyu?! Halafu unamsifia kabisa eti akili kubwa!!
 
This guy was fcking nuts.Nimekuwa nikimsikiliza katika interviews na intterrogation kadhaa inaonyesha ni aina ya akina Dr shika.
He was insane. Kuna siku alikuwa anahojiwa na mwandishi aliyeenda jela kufanya mahojiano naye. Katikati ya interview akamwambia mwandishi " ...let me go sh!t first, I will be right back".
 
Back
Top Bottom