MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 281
- 274
Startups that scale too quickly fail.
Yes or No
Why?
Yes or No
Why?
NO!Yes or No
Umeongea ukweli kabisa, references zipo, Sendy ya Kenya scaling too fast and failed. Dash ya Ghana too much money $86+M and failed. So startups wengi sana huwa hawajui kama kuna muda hawahitaji fund bali wanahitaji kujistablize ili wawe prepared na wawe na real need of fund to scale out.Kwangu mifano mizuri ni wework na snapdeal, hizi kampuni zote mbili zine fail kutokana na tooo much money from investors na management ku shidwa ku fanya allocation
Huwa nashauri hata hawa vijana wanakuja ku present idea zao kwamba sustainable growth ni more important kuliko rapidly growth, kuna mtu mwingine unamyima fund kwa sababu unaona huyu ukimpa ela baada ya 2yrs kampuni inakufa
Case study Sendy and Dash, now give me one example of successful Too Fast scaled and successful. Real growth.NO!
- Some startups are able to scale quickly and successfully.
PerfectSomo zuri Sana,katika kila biashara Kuna stages of growth, biashara inatakiwa kupitia,endapo one stage or two zikirukwa kwasababu tu ya kutumia pesa ili uvuke hiyo stage ujue tu huko mbele unaenda kukwama kwasababu bado hauko tayari kwaajiri ya next challenge