Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,571 2,068 Mar 24, 2012 #1 Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,189 Mar 24, 2012 #2 Duh! Natafuta jukwaa la MMU jamani, naombeni kuelekezwa njia
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,779 Mar 24, 2012 #4 Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja. Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa. Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.
Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja. Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa. Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.