Sauti ya babu : vijana siku hizi hawaoi wanasogeza tu!

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
208
435
Hii ni baada ya kumuuliza babu mmoja hivi wa hapa kijijini nilipofikia lengo nipate maarifa kuhusu mahusiano, nilimuuliza" babu kwa nini nyakati hizi ni vigumu ndoa kudumu tofauti na nyinyi zamani?

Amenijibu kwanza nyie siku hizi hamuoi hamzingatii ukabila mnamsogezana tu. Ndo mzizi wa tatizo. Karibuni wakuu
 
Back
Top Bottom