Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,852
- 59,568
Hebu toka Unga ltd njoo huku Kwa Nicky Pub....tusherehekee Mapinduzi ya Pweza Zanzibar
Agiza kuku kabisa na samaki wa foil nakuja muda sio mrefu. . . Au tuhamia Ango kama hapo pamejaa!!

Sauti kwa kweli inaeza pia kukufanya utengeneze picha kichwani kwako kama ni ya mtu ambaye hujawahi kumuona....kwamba yukoje anafananaje anaendana na sauti yake au ndo kama hivo tena

Alaaah kumbe ndo huyu!
Kwasababu tu sura, sauti,umbo ni vivutio haina maana kila mtu anavyo vinavyovutia wengine. Kuna wadada wana sauti nzito mpaka wanaume wengine hawawataki, kuna wakaka wana sauti na sura laini kiasi kwamba hata mi siwataki.
Lizzy ! Katika wiki nzima tangu ianze hapa umeongea point ya mie kukupa Trophy! Ni point itakayo'cover hadi wiki hii tuimalize.
Heheheheh usikute umefurahi kwasababu nimesema sipendi wanaume wenye sura laini. . . .
Ndiyo manaake!
Heheheheh usikute umefurahi kwasababu nimesema sipendi wanaume wenye sura laini. . . .
Agiza kuku kabisa na samaki wa foil nakuja muda sio mrefu. . . Au tuhamia Ango kama hapo pamejaa!!
Basi we yako lazima itakua ngumu wewe.
Ninani huyu inaonyesha mnajuana sana
Alafu n'seme n'siseme ?
Semaaaaa. . .
Nna hamu na usongo kuisikia sauti ya Kongosho! Sijui itakua mwororo na laini ? Au m'besi niko tayari hata kuilipia!
Anafanya kazi kama kastama kea wa Voda. . . piga unaweza ukabahatisha kujibiwa nae.