Sauti na harufu wapi na wapi

Omukuru

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
242
39
Leo nimepewa lift na mheshimiwa fulani kwenye gari. Jamaa leo alikuwa na tumbo chafu, alikuwa anajamba sana; na kila ushuzi anaongeza kiwango cha harufu mbaya. Kila alipokuwa anajamba anaongeza sauti ya redio. Baada ya kushindwa kuvumilia nikashusha kioo. Akageuka na kuniomba radhi akisema "aisee samahani, nilipandisha sauti ya redio nikidhani hutasikia harufu, kumbe harufu inapenya tu." Nimebaki kumshangaa sauti na harufu wapi na wapi.
 
ni beta ununue usafiri wako rether thy less utakua infected na bacteria wa hewa other option panda daladala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom