Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 426
Nimekaa nikawaza, nikaona mambo yanavyoenda naamini kabisa 2015 huyu jamaa lazma ataingia madarakani,Mbowe Zito,na wengineo naamini watakuwaniwashauri wakaribu.Kama ulikuwepo kwenye fundraising ya CDM au kupitia startv utakubaliana nami kuwa anauwezo wa kuongea kuhamasisha, na hata kutawala.Mabadiliko ya kweli haya letwi na aliyeshiba yana letwa na mwenye njaa ya mabadiliko kama Slaa.
SIOI HOI NASSARI HAI
SIOI HOI NASSARI HAI