SATA+SALL=SLAA.Just simple calculation

Tembomtata

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
266
426
Nimekaa nikawaza, nikaona mambo yanavyoenda naamini kabisa 2015 huyu jamaa lazma ataingia madarakani,Mbowe Zito,na wengineo naamini watakuwaniwashauri wakaribu.Kama ulikuwepo kwenye fundraising ya CDM au kupitia startv utakubaliana nami kuwa anauwezo wa kuongea kuhamasisha, na hata kutawala.Mabadiliko ya kweli haya letwi na aliyeshiba yana letwa na mwenye njaa ya mabadiliko kama Slaa.



SIOI HOI NASSARI HAI
 
Sioi mbona ameoa au mzee sumari alijua mwanae si rizki ndio maana akampa jina hilo?

Vote for Dr Slaa 2015
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom