Sasatel hawako hewani, vipi?

Nami internet hakuna. Nimesikia mitambo yao imepata hitilafu kubwa, mafundo wameitwa toka USA.
 
na nyie kwann mnatumia manyi moderm za bure??hiyo sasatel ukifika ubungo maji tu haifanyi kazi!
 
Back
Top Bottom