Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.

Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.

Stupid.
Upo sahihi..kuna ile nyingine Kadinali mweusi anarukwa na Papa bila kupewa Salamu.
Mwenye nayo aiweke pia ili tuweke uzani sawa, kwamba watu weupe tunaowaabudu na kufuata Ibada zao tunajipendekeza
 
Hapa brain wash imefanya kazi yake vizuri, Yani ukiona Mwarabu unatetemeka kabisa.

Inawezekana hujui kama kuna Waarabu Wakristo.
Nawauliza wakristo wote kuanzia wewe muha na mkristo mwenzio mwarabu mzungu mchina mhindi mlatini na wakristo wenzio wote duniani, na kama unajua kuwa kuna waarabu wakristo inawezekana hata huyo kwenye video akawa mkristo,
Usilazimishe kufananisha tabia mbaya na dini ya uislamu
 
Hahahaha nimegundua bila shaka wewe ni mtu ambaye hutumii akili vizuri, ni wale makafiri kazi yao ni kudandia tu maneno na fikra zao za upotofu. Kama kitu hujui sema ufundishwe sio kujitolea mawazo yako kichwani ndugu yangu, ukitaka kujua njoo nikufundishe
Sasa utanifundishaje kitu hukijui nimekuuliza we unaweza kusoma kiarabu ukasema hapana sasa utanifundishaje??
Hivyo vitu vipo na vimeandikwa unabisha tu mana kwa tamaduni zetu Africa vinakinzana na utu ila ndo ukweli kwamba wao jamaa matendo maovu kwa binadamu wengine ndio njia nyoofu ya kuingia pepo..
 
Hakuna mahali tumeelekezwa kufanya hivyo, hiyo ni mitazamo ya kibinadamu tu, wengi ni kwa kutoelewa mafundisho na maelekezo na wengine kwa kufuata matamanio ya dunia na kisiasa, lakini dini haiamrishi hivyo, mtume hakuwahi kumvizia mtu kumuua hivyo, yeye alipigana katika uwanja wa vita na maadui zake wote!!
Mbona sasa magaidi yanaua ili kusimamisha dini?
 
Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Nimeipenda hii
 
Hiyo ni tabia tu ya mtu mmoja wala haiusiani na uwarabu wake. Sawa na wizi wa Mali ya Uma unaoendelea kwenye nchi yetu huwezi sema jamii yote ya watanzania ni wezi.
 
Huku kwetu, "naam" anaitika mwanaume/mtoto wa kiume.

Wewe ukiitwa itika kwa namna ya kwetu, au huko uliko wanawake mnaitika "naam"?
Nilitalajia aitike Bee, anyway huwezi kujuwa hii ndio JF labda hiyo ni ID ya taasisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom