Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Jamani,
Kwa wale wadau waliopo serikali ebu tupeni ukweli kuhusu hili. Sisi tuliopo kwenye sekta binafsi tunaona dalili zote kuwa serikali imefulia. Jamaa yangu mmoja amenihabarisha kuwa imefikia hatua hata chai ofisi za serikali imeanza kuadimika. Mwezi uliopita tuliambiwa serikali ilibidi ikope bank ili ilipe mishahara watumishi wake. Wenye news kuhusu kufulia kwa serikali watujuze hapa! Kama hali ndiyo hiyo, enzi za Mzee wa Ruksa zinaanza kurejea!