Sasa si mgomo tena huu ni mgogoro wa sekta ya afya - hawawezi kututoa hapa

Ifike mahali watanzania tuache kufanya kazi kwa mazoea...hii haitufikishi popote...tutabaki tu na blah blah huku tukidanganywa na siasa za kijinga....kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli kwenye sekta zote lazima tubadilike hakika....tujenge utamaduni wa kuhoji mambo pale ambapo mambo hayaendi..tusitegemee hawa wanasiasa wanaotuongoza sasa...ubinafsi wao kwa kiasi kikubwa unachangia matatizo ya nchi.Sekta ya afya tz inapata msaada mkubwa sana wa kifedha toka kwa wafadhili...actually sekta ya afya ndio inaongoza kwa kupata fedha ya wafadhili..lakini tujiulize...je...kwanini bado hali ni mbaya hivi kwenye sekta ya afya???....leo hii serikali inashindwa kuwawekea hata mazingira mazuri watumishi wake wa afya ili waweze kufanya kazi hata mikonani kwenye mazingira magumu?.....hawa wataalam wachache waliopo serikali inashindwa kuwahudumia lakini wanaweza kuwagharamia viongozi na raia wengine kwenda kwenye matibabu nje ya nchi...viko wapi vipaumbele??...wanashindwa kuboresha mazingira ya utendaji kazi kwa health personel(including doctors)lakini wanaweza kutumia pesa nyingi kupelelka watu nje kwa matibabu ambayo yangeweza kufanyika nchini..this is ridiculous...wanasema pesa hamna lakini ukweli ni kwamba pesa kwenye sekta ya afya zipo sana....pesa wanatoa wafadhili tena nyingi inakwenda kwa sekta ya afya......tatizo ni kutokuwa na maamuzi na maono(vision)hili linasababishwa na uongozi mbovu na sera mbovu uliozoea kufanya kazi kwa mazoea.....wao wakishajaza mitumbo yao basi.....sasa madaktari wanagoma ni kwa manufaa ya afya za watanzania wote(in the long run) kwani mazingira ya utendaji kazi yakiboreshwa(including wages) basi definately na utoaji huduma za afya utaboreka........sidhani kama kuna mgonjwa anaependa kuhudumiwa na daktari aliye kwenye stress.(ndio sababu mnaona wagonjwa nao wanasema serikali iwasikilize madaktari).....hata wenzetu nchi zenye viongozi wenye vision wanalijua hili na wanawapa good care health personel wake.....
 
Haitoshi tena kukaa chini na kupiga soga; ni lazima mambo ya msingi yakubaliwe kwanza.
 
Hili si suala la maslahi tena ni suala la sekta ya afya.

Nakubaliana na hoja, mgogoro ni kwenye sekta nzima, kama ilivyo mgogoro kwenye elimu. Hivi pesa tunayokatwa kwenye bima ya afya na dawa hatupati, huwa inapelekwa wapi kama hata X-ray za Muhimbili ni utata?
 
Back
Top Bottom