Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

UNAOTAA WEWE....MACK hisa zake hazifiki 30????
Huenda ila mimi nimeitoa hapa labda kuna nyingine ulikoona ana zaidi za hiyo.
2018-11-25-20-16-39.jpeg
2018-11-25-20-16-55.jpeg
 
Hakuna aliebisha tatizo lilikuja ma haters wa Diamond kusema anatumika tu mali sio yake na kusema share aliyonayo haizidi 8% hakuna asiejua u partnership wa diamond na kusaga tatizo linakuja kutaka kutuaminisha hana chake.
hapana wengi walibisha wakasema kusaga hawezi kumiliki wasafi tv akaiumiza clouds.
 
Sasa hilo linahusiana vp na nilichoongea mimi? Kama hilo la Coconut umelifahamu hiyo juzi binafsi nalifahamu tokea kitambo ingawaje sio kuhusu Frequencies!

Hoja hapa ni Joseph Kusaga kutaka kuiua Clouds Media!

Anzia hapo na sio habari za Coconut FM
Joe alivurunda kwa baba yake..alichukua mkopo bank akitumia hati ya nyumba ya baba yake Mwenge...sasa mzee ndio alikuwa na share kubwa Clouds..kabla ya kufariki akampatia mdogo wake Joe(Sheba)na ndio final say wa mjengoni kwa sasa..kutokana na tamaa za kibinadamu akamshawishi Diamond waanzishe media company (wasafi) ili kucompete na big brand Clouds ili wasafi ikisimama auze share zake zote..
hata kuumwa kwa Ruge naona kuna mkono wa mtu kwa ajili watesi wanajuwa hakuna mwenye akili kubwa kushinda Mr Ruge....akiondoka na big brand itapungua ushawishi..kama una swali ruksa...
 
Hahahaha mjadala mzuri sana huu ,napenda mnavyo comments wengi mko vzr ,ni namna tu ya kupangilia hoja ndio kunapishana
 
Joe alivurunda kwa baba yake..alichukua mkopo bank akitumia hati ya nyumba ya baba yake Mwenge...sasa mzee ndio alikuwa na share kubwa Clouds..kabla ya kufariki akampatia mdogo wake Joe(Sheba)na ndio final say wa mjengoni kwa sasa..kutokana na tamaa za kibinadamu akamshawishi Diamond waanzishe media company (wasafi) ili kucompete na big brand Clouds ili wasafi ikisimama auze share zake zote..
hata kuumwa kwa Ruge naona kuna mkono wa mtu kwa ajili watesi wanajuwa hakuna mwenye akili kubwa kushinda Mr Ruge....akiondoka na big brand itapungua ushawishi..kama una swali ruksa...
Hahahaha, mjadala mzuri ,hoja nzuri ,unaelekea kuwaelewesha watu vzr
 
Joe alivurunda kwa baba yake..alichukua mkopo bank akitumia hati ya nyumba ya baba yake Mwenge...sasa mzee ndio alikuwa na share kubwa Clouds..kabla ya kufariki akampatia mdogo wake Joe(Sheba)na ndio final say wa mjengoni kwa sasa..kutokana na tamaa za kibinadamu akamshawishi Diamond waanzishe media company (wasafi) ili kucompete na big brand Clouds ili wasafi ikisimama auze share zake zote..
hata kuumwa kwa Ruge naona kuna mkono wa mtu kwa ajili watesi wanajuwa hakuna mwenye akili kubwa kushinda Mr Ruge....akiondoka na big brand itapungua ushawishi..kama una swali ruksa...
Maelezo yako sahihi asilimia 95. Na pale kuna ndugu wengine God, Judi, na Andrew wote watemi ni kama ukoo wa kambale. Wanawindana Ila ukweli clouds ni Akili ya Ruge ndo kaply part kubwa mpaka kuwa super brand ila wale ndugu walivyo na roho mbaya walishindwa hata kumpa share kwani wazo la kufungua radio lilitoka kwa watu 2 joh na ruge. Changamoto ikaja mtaji wanatoa wapi. Ruge akaenda kuomba mtaji kwa baba yake, akamchomolea kwa madai arudi shule kupiga master ya marketing. Ndo joh akaamua kufanya figisu kwenye hati ya nyumba. Sasa hawa nachoko wasiojua hata idea ilianzia wapi ndo wamejimilikisha kampuni wakidai migao iende pasu huku ruge akilipwa mshahara. Kinachomsaidia ana akili anatengeneza makampuni kupitia clouds anafanya promo anajipigia zake hela. Hii miezi mitano tu ya kusumbuliwa na figo kampuni imetepeta mno. Hao kusaga's wapo kama mazezeta tu hawana hata ushawishi kwa viongozi wa serikali. Naamini kukosekana kwa Ruge pale wamepata somo.
 
Duh ndugu,umechanganya habari sana....hiyo issue ya nyumba ya mwenge mbona ya zamani sana,20 years ago?si ndo ile nyumba walikuwa wanafanya issue za mziki mawingu records na kina bonny luv?sio kwamba alifanya hivyo 1998 kupata mtaji wa kufungua radio kule jengo la bima?na alifanikiwa kiukweli
ninavyojua sheba alipewa umeneja wa tv,God kwenye prime time na Judith kwenye uhasibu.Correct me If Iam wrong.
 
Tatizo ngozi nyeusi hatujui kutengeneza watu, ili kuwaandaa na majukumu mazito, kama wenzetu . Ina maana Ruge akivuta CMG ndio basi tena. Ila kwa picha ninayo iona hata Ruge akiwa hai, CMG bado itayumba, sababu Kusaga family Kuna fukuta unaweza ukashangaa akatokea chizi akasema bora iuzwe.

Haya maswala ya familia nayajua, mimi Kuna mzee mmoja, amekufa amewaachia majumba na magari zikiwemo eicher mbili. Eicher tayari zishauzwa ambazo kwa siku zilikuwa, zinaingiza zaidi ya laki tatu, nyumba zenyewe muda si mrefu zinapigwa bei kwani Kuna bonge la fukuto.
 
Na Judy bado anakaa mwenge mpk sasa

Hahahaha, mkiweka mpangilio mzuri ,mna hoja na points nzuri tu

Nakuhakikishia Ruge akivuta ndo mwisho wa Clouds, hata akija mnunuzi mwingine still Ruge akabakizwa bado kampuni itasavaivu. Kufeli kwa tamasha la juzi ni kukosekana kwake ndo maana unaona wasanii kibao wako busy insta kumuombea apone, now ndo wanaanza kuuona umuhimu wake kwenye industry. Ishu ya leaders kuzuia matamasha haijaanza Leo. Karibia huu mwaka wa tatu na mwaka Jana hatihati isiwepo na ilipokuwepo wakaambiwa na bashite mwisho saa tano, this dude man huwa ni kunyanyua waya hadi magogoni inatoka special order na shughuli zinaendelea. Sasa pale nani mwenye access na Ikulu? Sio CEO Joh wala machoko mwenye access na John. Wasanii walimchukulia poa Ruge ila umuhimu wake kwao ni mkubwa kuliko malalamiko yao kwake.
 
Duh
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
 
Sasa si useme hapa kama unajua,vitu uvijue wewe halafu maswali utuulize sisi?,mwaga vitu hapa watu tujue mbichi na mbivu
 
hapana wengi walibisha wakasema kusaga hawezi kumiliki wasafi tv akaiumiza clouds.
Acha kubadili maneno wewe! Suala la kuimiza Clouds mimi ndo niliongea! Na jambo ambalo nilikupinga ni madai yako kwamba, eti Kusaga anamiliki 92%... naona gazeti limewaumbua ndo unataka kusogeza magoli kama ambavyo Da' Mange anavyohangaika kusogeza magoli!

Hivi sasa hoja yake imbedilika kutoka Diamond kuwa na 8% na sasa anazungumzia suala la Kusaga kum-forceful buyout Diamond endapo Wasafi itatoboa!
 
Asanteni wote mlioshiriki kwenye mjadala huu, nime pitia comments zote mwanzo mwisho na kuweza kujua na kujifunza mengi.
 
Back
Top Bottom