Sasa naanza kuamini yule kijana aliyemkwida JK miguu Mwanza wakati wa kampeni

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo naanza kuamini yule kijana sijui mzee aliyezuia mkuu asipewe Uchifu wa wasukuma kuwa allikuwa sahihi.
 
Hivi alimaliza kifungo chake? Nafikiri bwana yule anaweza andika kitabu na akawa tajiri wa kutupa!
 
huyu nadhani atamaliza kifungo chake pale jei k atakapo maliza kuinyonya nchi hii. Nashut down fasta
 
Hivi yule mshkaji aliyemtandika Babaetu Ruksa yupo wapi? Yule kijana wa Mwanza alikosea timing kidogo tu!
 
Alisamehewa na yuko huru mpaka sasa.

Kama nakumbuka vizuri kuna siku nilisoma kwenye gazeti kuwa alifariki akiwa jela. Sina uhakika sana na hili. Back to the point huyu alitaka kujitafutia umaarufu wa kijinga, naunga mkono aliyemwita muhuni
 
Back
Top Bottom