Sanitas Hospital vs AAR, nini hatma ya wagonjwa?

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Najiuliza:

1 - Tutarajie Sanitas kufunga biashara kama AMI?

2 - Tangazo hili mbona lipo kimipasho na limejaa jazba?

3 - Serikali inasubiri wananchi walie? Kuna wengi wanalalamikia huduma zisizoeleweka toka Hospitali hii; madaktari wengi wameikimbia.

4 - Hivi Sanitas doesn't make profit? Kwanini wasiendeshe biashara professionally?

Only in Tanzania!
 
Attachments

  • 1435515340580.jpg
    1435515340580.jpg
    66.9 KB · Views: 1,396
AAR wamezidiwa, soon wataclose their operation kama AMI hospital Masaki. Wizi mtupu hawa wakenya wanachotufanyia,
 
Mie hao Sanitas sina hamu nao... Niliambiwa naumwa kitu fulani kumbe siyoo nikapewa madonge kibao ahueni sipati... kwenda Aga Khan hospital wananikuta naumwa kitu kingine tofauti after one week ya medication nikawa poa... Sina hamu nao hao
 
Alieleta taarifa hajui kilichoandikwa kwenye barua japo yeye ndo kaileta
 
AAR ni insurance company ambaye anaingia contract na providers like sanitas...provider anatoa huduma kulingana na ethics za huduma yake na makubaliano ya bei...hivyo upande wowote utakao kiuka makubaliano ambayo yapo ktk contract unaweza sitisha mkataba...so AAR wamesitisha mkataba na sanitas kwa kukiuka makubaliano....
 
Mie hao Sanitas sina hamu nao... Niliambiwa naumwa kitu fulani kumbe siyoo nikapewa madonge kibao ahueni sipati... kwenda Aga Khan hospital wananikuta naumwa kitu kingine tofauti after one week ya medication nikawa poa... Sina hamu nao hao
Lady uliumwa nini ? na mara ya kwanza walikusingizia unaumwa nini ? wka hadharani ili na wake zetu au watoto wetu wakiumwa hivyo ulivyosingiziwa tujue wanaumwa walichogundua Agha Khan
 
Lady uliumwa nini ? na mara ya kwanza walikusingizia unaumwa nini ? wka hadharani ili na wake zetu au watoto wetu wakiumwa hivyo ulivyosingiziwa tujue wanaumwa walichogundua Agha Khan

Janja ya nyani.....
 
watanzania washauriwe kutumia tiba za jadi kuepuka mambo haya ya matangazo
 
Mimi na rafiki zangu tukiumwa tunakwenda kwa dokta JJ Mwaka kwa ajili ya tiba. kliniki yake haihitaji bima wala nini, ni laki yako unapewa dawa ya kutibu kila gonjwa.
Unapewa dawa na chupa inawekwa lebo baada ya wewe kupewa dawa. Dawa haina lebo ikiwiwa famac. Famaci kwenyewe kuna vijana wawili wanatia dawa aina moja kwenye vichupa. ukiugua ugumba unapewa dawa hiyo hiyo aliyopewa asie na nguvu za kidume lakini lebo torfauth
 
Mbona barua yenyewe imejaa mipasho
Wote wanapigania mkate wa kila siku kazi kwelikweli
 
Mimi na rafiki zangu tukiumwa tunakwenda kwa dokta JJ Mwaka kwa ajili ya tiba. kliniki yake haihitaji bima wala nini, ni laki yako unapewa dawa ya kutibu kila gonjwa.
Unapewa dawa na chupa inawekwa lebo baada ya wewe kupewa dawa. Dawa haina lebo ikiwiwa famac. Famaci kwenyewe kuna vijana wawili wanatia dawa aina moja kwenye vichupa. ukiugua ugumba unapewa dawa hiyo hiyo aliyopewa asie na nguvu za kidume lakini lebo torfauth

Mkuu hili dongo au unamfyegilia Dokta jj?!
 
Tatizo sio "Sanitas" wala "AAR" bali tatizo "Serikali" inayopaswa kuwasimamia na kulinda maslahi ya walaji wa huduma zao ambao ndio wenye Nchi!

Angalia hiyo redi. Sipendi watu kutohoa bila kuzingatia maana katika lugha. Kwanini usiseme watumiaji wa hiyo huduma? Kwani hospitali wnatoa huduma za chakula?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom