Sanamu ya Nyerere kutofanana; Je sanamu ya Christiano Ronaldo inafanana na mwenyewe

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,004
Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine.

Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali alipozaliwa CR7. Je mnaionaje?
IMG-20240219-WA0037.jpg
 
Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine.

Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali alipozaliwa CR7. Je mnaionaje?View attachment 2909715
Tujadili ipi yenye tija kwetu?Naona unachanganya vibuyu.
 
Muhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.

Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo tukiambiwa hii sanamu ni ya chui huku tunamwona swala tukubali tu? Tukubaliane kabisa isije kuleta shida huko mbele
 
Muhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.

Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hiyo ndiyo hoja yangu kubwa. Watanzania kwenye social media ambao by 80 wamezaliwa baada ya mwaka 1990 ndiyo wanaongozo mjadala wa whether ni sanamu ya Nyerere au siyo.

Wangekuwa makini wangejikita na mijadala ya kwa nini sanamu ya Nyerere iwekwe AU.

No wonder why UDSM ambayo ni top university in the country ime rank number 37 badala ya namba 5 iliyozoea in the past
 
Muhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.

Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Raia wanafanya maisha yanakuwa magumu.
 
unajua kuna vitu vinanifurahisha. Sasa kwa kuwa ya Ronaldo imekosewa basi na sisi ya Nyerere tukubali tu? Hii ni hoja dhaifu mno.Kwa hiyo ukikuta sanamu ya mwanaume ukaambiwa ni mwanamke nayo utakubali tu?
90% ya jopo la kamati ya maandalizi, including mwana wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere waliikubali kuwa ni yenyewe
 
Mtu kalipiwa nauli na posho ya kwenda huko halafu awagomee kweli kwamba sanamu siyo la baba yake? Mbona miaka kadhaa nyuma pale bustanini jijini Mwanza kuna lisanamu fulani hivi liliwekwa na kudaiwa ni la Nyerere na wananchi walipiga sana kelele kwamba halifanani nae na nadhani baadae likabadilishwa?
 
Haiwezekani SANAMU lifanane typical na kitu HALISIA binadamu anachonga mfanano iwe MBUZI, BATA, NJIWA , KASUKU ,NG'OMBE hata binadamu.

Hata ndugu wa kuzaliwa na binadamu tunarahisisha tu, hwa wamefanana lkn kiuhalisia tumerahisisha tu.
 
Back
Top Bottom