Nimezoom ili nimuone sungura laki nimetoka kapa.Baada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.
View attachment 1845459
Lakini sanamu HII ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.
Je maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?
Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo chake ni muongo.Ngoja aje konda msafi awajibu 😁😁
Question...Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo ni muongo.
Huyo sungura sijui ana maana gani? Subiri nimpigie simu Zuma nimwulize ila sijui kama ameruhusiwa kuingia na simu jela.Question...
What about sungura pale kwenye sikio?
Konda msafi kama konda msafi 😂😂. Mleta uzi anatuingiza cha kike huyu. Au nae anapiga propaganda apa ana ulaji kwenye sanamu linalotaka kujengwa nchini.Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo chake ni muongo.
Ilikuwa ni mjadara mkubwa sana huko south africa ikaonekana haka kasungura hakina maana yoyote ikabidi wakitoe, so kwa sasa ilo sanamu halina ako kasungura sikioniBaada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.
Lakini sanamu hii ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.
Je, maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?
View attachment 1845459
==
View attachment 1845507
Aisee nimeangalia vizuri sana sijaona Sungura.Naomba nikusaidie kuweka ka picha. Naona Mleta uzi umesahauView attachment 1845504
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Watu wavuvu kufanya simple research.The tale of Nelson Mandela's rabbit
Once upon a time there was a little rabbit who lived in the ear of a statue - the statue of a man called Nelson Mandela. Not any more.www.bbc.com
Huyo sungura ni trademark ya waliopewa kutengeneza hiyo sanamu
Waliiweka pale kiujanjaujanja tu baada ya kukataliwa kuiweka kwenye suruali yake .
Ila ameshaondolewa na waliruhusiwa kuweka signature zao pembeni karibu na hilo sanamu.
Suala hili mbona limeandikwa sana mitandaoni embu gogoni mtapata taarifa za hiyo ishu ya sungura kwenye sikio la hiyo sanamu ya mandela