Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Inamaana tangu huyo six afisadi hiyo cda hakuna pesa nyingine iliyopatikana kwa ajili ya mradi huo. Acheni unafiki, mji na makao makuu hayatakuwa kutokana na maslahi ya watu wachache. Mbona maofisi ya wizara mbalimbali zilizopo dar yanaboreshwa badala ya kujenga huko Dodoma? Tangu six afisadi km mnavyodai, ni miaka mingapi imepita? Mbona bado mji umejaa barabara za vumbi kibao? Mwacheni mpambanaji apambane.